Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarini jamani! Naomba kuuliza kama kuna tofauti ya transmission ya automatic na automatic CVT katika utendaji wake wa kazi ama ni kitu kimoja!?
Nilisahau......Rav4 GX/VX zipo SXA na kili time pia........cc hazitoweza kufanana........aseme ana ipi.........
Haina tofauti na Vitz......kwanza zipo grp moja.......tofauti ni.....moja hatchback........nyingine sedan........nadhani........
Engine take ndogo Sana halafu haina nguvu kimsingi platz ni gari nyanya
wadau naombeni kuuliza nilikuwa naangalia bei za magari used =kupitia beforward nimeona kuna magari mpaka ya $ 87-100 sawa na Tshs 187,000-200,000 ingawa mengi yametengenezwa kati ya mwaka 1998-2002 na cc zake mengi nikuanzia 1350-2900.swali langu ni kuwa hii ni bei halisi ya haya magari au baadhi yake ni mabovu?
Je hili gari la $ 87 uki imort mpaka hapa Tz pamoja na makololo mengine ina maana haiwezi zidi laki5.
cc mshana Jr

Kuna gari mpaka USD 50 na ziko vizuri tu shida ni usafiri na kodi zetu unaweza kujikuta unatumia si chini ya ten million kwa gari ulilonunua laki moja
Hiyo bei ni CIF........?........
Kuna gari mpaka USD 50 na ziko vizuri tu shida ni usafiri na kodi zetu unaweza kujikuta unatumia si chini ya ten million kwa gari ulilonunua laki moja
mkuu hv nikitaka kujua bei halisi mpaka kuwa nayo mkononi nafanyaje?
Inategemea ni model gani nyingine majanga
Kitu ya road hiyo ila parts zimechangamka bei