Okay Mshana
Na hii kwa magari aya ya manual transmission. Ivi vitendo vya kupga free na yenyewe ni kuua gear box
Sijawahi kuona vitz au altezza ya diesel mkuu
Hakuna IST na ALTEZA ya DIESEL
Ziko njema sana sijaona shida yake labda tu kwakuwa ziko chini
Hizo pia ni hivyo hivyo ila kuna zenye engine kubwa hivyo fuel consumption iko juu kiasi
Ni toyota Ist ya diesel..nilimaanisha
Wadau wa magari nauliza sawali! Nina gari gx 100. Kuna cku tulikua tunafukuzana kwenye high way na jamaa mmoja. Bahati mbaya nikaigonga gear lever ikatoka kwenye D mpaka R straight! Cha ajabu gari ili behave kama ipo neutral tu na haikutokea msuguano wowote wa vyuma ndani mpaka nikairudisha tena kwenye D. Swali langu ni kwamba hizi gari za automatic zina speed maalumu kwamba hata gear ikiwa R gari haitaharibika? Kwa sababu ukikosea kwenye speed ndongo gari inashtuka sana na haitaingia kabisa Kwenye R.