Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

kwa nyongeza ya jibu la mshana jr, gari hivo ina piston 6, engine V6 (1MZ-FE) pamoja na 4WD nyepesi.
Cha msingi usiwe na mafuta ya mawazo manake utapata presha.
Si kweli, tofauti ya ulaji wa 4 cylinder vs V6 is almost negligible! Ukiangalia specs (ingia kwenye web za magari), tofauti si kubwa sana moja 9.6km/L kwa cc 1990 wkt hiyo ya v6 unakuta ni 8.5km/L kwa cc2500tofauti ya mita 1,100. Mi naona km mtu anaogopa kuendesha gari atembee kwa mguu tu.

Mafuta ya mawazo, jini, gas guzzler ni uvumishi tu tofauti ni ndogo kibongobongo tunapeana uwoga mm nimejaribu zote (kununua 2nd hand toka Jpn), tofauti sio km vile inasemwa
 
Mkuu kuna button nyekundu upande kwa mbele gear liver inapoishia ila kazi yake siijui, nikiweza kuweka picha nitakuwekea
Wakuu hii button nyekundu inanichanganya cjui kaz yake ni nini, naomba msaada!
Kushift Gearleaver Kama gari imezimika kwa sababu zozote zile na unataka kuisukuma au kuivuta ili gearleaver ikae kwenye neutral (free gear)
Unachofanya unaikisukuma chini hicho kitufye kisha unahamisha gearleaver ysko
 
Naombeni ushaur kwa mwenye kujua mabaya na mazuri ya toyota wish,nitafurah kama nitapata majibu asap
 
Naombeni ushaur kwa mwenye kujua mabaya na mazuri ya toyota wish,nitafurah kama nitapata majibu asap
Old model majanga hasa kwenye balljoints tyrod ends chukua new model ziko njema
 
Bro mshana kwa sasa bajeti ya gari hii niandae ngapi hadi lifike bongo tafadhar
 
Wakuu nina Toyota Hilux double cabin SRX ya mwaka 1995 ina engine ya 3L diesel. Gari ilikua imepunguza nguvu sana ukizingatia nimekua nikifanya service bila kupitiliza. Nimepelela kwa fundi wangu kasema inatakiwa kufanyiwa overhaul..swali langu ni kwamba nifanye overhaul au ninunue Engine nyingine?..mana nimesikia overhaul hua haisaidii sana kuboresha engine ya diesel. Nitafurahi kupata mawazo yenu wana jamvi
 
Jipinde upate engine nyingine
 
Nimefanyia overhaul 5a engine itakuwa na maisha marefu au nijindae kupata nyingine msaada pls ndio ipo kwa fundi anaifunga kesho
 
 
Ninapo washa gari signs zote zinawaka red then zinazima
 
Ukwaju heri ya mwaka mpya Asante kwa hili, wengi watajifunza hapa
 
Ukwaju heri ya mwaka mpya Asante kwa hili, wengi watajifunza hapa
Ok nimeku-PM in Box
mwaka huu mzuri mafuta yanashuka bei na vispea vya gari za kijapani navyo vinashuka
sasa bei za magari ndio zinaFlactuate nasubiria Noah zishuke hata zikaribie 5.5m sio Noah VOXY natafuta Town ace au Liteace (Limo) Lyimo
nilifika huko Lumumba nikaenda Ilala wnanikodolea macho tu wanataka 10m niakimbia Mlimani kuDeposit vihela vyangu wenyewe nikawapa wanywe supu maana walishanizunguka wakijua nimeuza ng'ombe huku Bara,
Mungu mkubwa nikaambiwa unabahati ukiDraw Mlimani city wanachukua lkn si kuweka aaa salama tu
 
wakuu me gari yangu imeweka matege taili za mbelee zimetoka kwa njee kidogo nini kinaweza kuwa kimeishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…