Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshana gari yangu inashindwa kuwaka hadi nirudie zaidi ya Mara moja ni corolla110
Nahavome ambiere...Utunzaji wa kawaida na kuzingatia service pia kupunguza mikono yaani madereva kwenye gari lako lakini pia kuna watu majuha mno eti anazima AC kufidia mafuta, huku ni kuchakaza gari kwa upumbavu au ubahili usio na tija
Lakini pia zingazia genuine kwenye chochote kuanzia lubricants mpaka parts ,mwendo wa tahadhari kwenye barabara mbaya nknk
Japo sijahusika kwenye "cc" hila naweza kushauri uende gerezani, au temeke wanapouza used, ukishindwa basi rudi tandale wanapochinja magari uende na sample kuna 85% yakupata.Mafundi hebu nisaidieni hapa......mteja wangu kaja garage na gari inapigwa kelele mbele......katika kuikagua.....nikakuta bush kubwa ya wishbone inakufa........(bado haijafa sawasawa)......sasa tunataka tufunge mpya........wapi naweza pata hiyo bush yenyewe bila kununua wishbone nzima............?......gari ni Rav4 ZCA26.........
Cc Mshana Jr.......@LEGE.......@kaizer........@OLESAIDIMU........@MANI......@RRONDO........
Kwanza mkuu aina ya oil ya gari yako mara nyingi huandikwa kwenye mfuniko wa sehemu unapowekea engine oil. Kama sio hapo basi kwenye manual ya gari yako. Na hizo oil huwa zinaenda kwa namba, na kuhusu kilometers 3000 sio lazima maana kuna oil zingine ni high mileage mpaka km 15,000 kwahiyo utaandikiwa kwenye kopo la oil. Na oil nzuri kwa gari kuanzia cc2000 tumia hizi hizi za low mileage km 3000 mpaka 5000 coz engine ndogo kuipa oil yenye mzunguko mrefu haipendezi sana, lakini kwa wenye cc3500 kwenda juu hao wanatumia vizuri coz engine zao kubwa.Wakuu naomba kujua zaidi kuhusu engine oil na gear box oil katika haya
1. Zipi ni synthetic na Zipi ni natural
2. Katika hizo aina ni magari yapi hutumia synthetic au natural
3. Utatambuaje oil sahihi kwa gari yako
4. Katika kubadilisha oil ya engine na gearbox zile km 3000 ni recommended toka kiwandani au ni mazoea turn
5. Oil Zipi ni best kwa gari ndogo kuanzia cc2000 na kushuka chini
Inashangaza sana, mtu kanunua gari cc1890 alafu bado anaogopa fuel consumption kwa kuweka ac..nadhani mtu wa hivyo anafoji kumiliki gariUtunzaji wa kawaida na kuzingatia service pia kupunguza mikono yaani madereva kwenye gari lako lakini pia kuna watu majuha mno eti anazima AC kufidia mafuta, huku ni kuchakaza gari kwa upumbavu au ubahili usio na tija
Lakini pia zingazia genuine kwenye chochote kuanzia lubricants mpaka parts ,mwendo wa tahadhari kwenye barabara mbaya nknk
Inashangaza sana, mtu kanunua gari cc1890 alafu bado anaogopa fuel consumption kwa kuweka ac..nadhani mtu wa hivyo anafoji kumiliki gari
Kuna article nshasoma na ikawa proven kuwa ukitumia gari huku umefungua vioo consumption inaongezeka coz gari ikiwa inaenda mbele upepo ukiingia ndani inabidi gari itumie nguvu zaidi kukinzana na upepo.Inashangaza sana, mtu kanunua gari cc1890 alafu bado anaogopa fuel consumption kwa kuweka ac..nadhani mtu wa hivyo anafoji kumiliki gari
Kwanza mkuu aina ya oil ya gari yako mara nyingi huandikwa kwenye mfuniko wa sehemu unapowekea engine oil. Kama sio hapo basi kwenye manual ya gari yako. Na hizo oil huwa zinaenda kwa namba, na kuhusu kilometers 3000 sio lazima maana kuna oil zingine ni high mileage mpaka km 15,000 kwahiyo utaandikiwa kwenye kopo la oil. Na oil nzuri kwa gari kuanzia cc2000 tumia hizi hizi za low mileage km 3000 mpaka 5000 coz engine ndogo kuipa oil yenye mzunguko mrefu haipendezi sana, lakini kwa wenye cc3500 kwenda juu hao wanatumia vizuri coz engine zao kubwa.
Kuhusu oil nzuri zipo nyingi sana hila kwa mie huwa napenda sana za Total, BP au engen
Hahahaa kufoji kumiliki gari sio duuh sina mbavuInashangaza sana, mtu kanunua gari cc1890 alafu bado anaogopa fuel consumption kwa kuweka ac..nadhani mtu wa hivyo anafoji kumiliki gari
Inashangaza sana, mtu kanunua gari cc1890 alafu bado anaogopa fuel consumption kwa kuweka ac..nadhani mtu wa hivyo anafoji kumiliki gari
Yap kitu fully AC hata trip za car wash zinapungua.Tunatakiwa tupate hayo mawazo tukiwa kwenye Tundra eeeeh......cc 5660 na ni petrol......
Yap kitu fully AC hata trip za car wash zinapungua.
Sentence ya mwisho ndio jibu sahihi
Lazima kuna cost ulipe ukitaka ivae namba za njano.....njoja watalaamu wa ushuru waje hapaNataka kununua Lexus is200 kwa mil7.8 kwa jamaa yangu yupo Z'bar, ila sijajua ita-cost Tsh ngapi mpk kufika Mwanza, yaani nauliza kama kuna process zozote ambazo zinaweza kunifanya kutoa hela zaidi ya bei niliyonunulia?