Mkaa Mweupe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 654
- 183
Gari ya auto lever inaweza kuingia R ikiwa kwenye mwendo lakini aiharibu gear box. Vilevile gia R huwezi kuitumia ku counter rev gear box endapo brake zimefail.Thnx. Ilikua kitu cha ghafla sana na sijawahi pata shida hio tena na naogopa kujaribu kwa makusudi. Mimi ni engineer lakini sio wa magari kwa hio nimekua najiuliza kwa miaka mingi sana is it possible kweli kwamba due to high speed na wajapan wakijua fika bahati mbaya zipo unaweza sukuma gear lever bahati mbaya so wakaprotect gari against that situation. Anyway may be haikufika kwenye R kweli.
Kwa gari ya manual haiingii kabisa. Hii imeshajaribiwa na jamaa wa MYTHBUSTER!