Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Habari mika wana jamvi,
Mimi naomba ufahamu kuhusu gari langu aina ya Kia sportage.... Inanisumbua inawaka lakini haichanganyi mafuta... Nimebadili plugs... Air flow na fuel injection zote lakini tatizo bado liko palepale na inatoa harufu kali ya mafuta yasioungua vizuri kwenye exhaust. Pls mwenye uzoefu na gari hizi anisaidie
mkuu wapatikana wapi kama bongo twaweza tafutana na mm nikaicheki? lakini vipi umejaribu kulipima? na ilikuwaje mpaka likaha hivyo? ulijaribu kucheki airflow sensor? je gari hsins miss?? daaa na maswali mengi sana mkuu.
 
Habari za jioni wadau..kama kuna mtu anafahamu fundi yoyote wa ford escape..anisaidie mawasiliano.
 
Naomba kufahamishwa juu ya engine ya gari aina ya 1AZ. Uzuri wake, ubaya wake na ulaji wake mafuta. Na upatikanaji wa spea. Nimeagiza Nadia nimeangalia engine nakuta ni 1AZ nimezoea kuona engine za 3S plz help kabla sijaingia mkenge though nimeshapata offer yao na profoma invoice.

Hiyo engine inaitwa D4 sometimes......ki ukweli wengi tunazikimbia ....sio mbaya ukipata Fundi mzuri incase of emergency.......lakini nakushauri chukua 3S......hiyo engine imeshajadiliwa sana humu ndani tena uzi huu huu.......
 
Preta shikamoo.
Uko sahihi injini hii mafundi wengi wanaikimbia
 
mshana jr
1.Toyota Auris(Dada wa RunX,Allex) vipi ni ngumu na spare zinapatikana?

2.Unaweza i recommend over Raum New model?
 
mshana jr
1.Toyota Auris(Dada wa RunX,Allex) vipi ni ngumu na spare zinapatikana?

2.Unaweza i recommend over Raum New model?
Hizi gari zote za kisasa zenye cc ndogo zinatakiwa extra care handling lakini ni nzuri kwa town trips na mishemishe zisizo na fatigue
Unaweza ichukua tu hakuna shida
 
Natafuta kazi ya udereva nimesoma veta na kuhitimu mwaka 2012 leseni daraja BDE nina umri wa miaka 25 naishi dar na nitafanya kazi kkokote
 
Mshana Jr na wataala wote, Heshima kwenu..!

Plz naomba kujuzwa gari hii ina ukubwa wa Pistons ngapi na ubora wake kwa ujumla.

Toyota Harrier, MCU15W, Lexus, 2990cc, Engine 1MZ, Yr 1999, Petrol na ina bomba mbili (eksos)

Plz, naomba kuwasilisha...
 
Utunzaji wa kawaida na kuzingatia service pia kupunguza mikono yaani madereva kwenye gari lako lakini pia kuna watu majuha mno eti anazima AC kufidia mafuta, huku ni kuchakaza gari kwa upumbavu au ubahili usio na tija
Lakini pia zingazia genuine kwenye chochote kuanzia lubricants mpaka parts ,mwendo wa tahadhari kwenye barabara mbaya nknk
pia kuna watu majuha mno eti anazima AC kufidia mafuta, huku ni kuchakaza gari kwa upumbavu au ubahili usio na tija:Fafanua kidogo hapo mkuu maana hata mimi ni mmoja wa hoa watu,Petroli inapokuwa kidogo sana kwenye gari huwa ninazima AC mpaka pale nitakapoongeza tena na kweli huwa inanisogeza mbali kidogo nikilinganisha na endapo AC ingekuwa ON.
 
Kuzima AC mafuta yanapokuwa chini ni kufidia au kupunguza matumizi ya mafuta.. Tafadhali fanya hivi kwa dharura tuu
Ukizoea kutembelea mafuta nusu na robo lita unauwa pump kwahiyo utakuja kupata gharama kubwa za kubadili pump hakikisha mafuta hayashuki chini ya robo tank pia epuka mafuta ya vidumu
 
Mshana Jr na wataala wote, Heshima kwenu..!

Plz naomba kujuzwa gari hii ina ukubwa wa Pistons ngapi na ubora wake kwa ujumla.

Toyota Harrier, MCU15W, Lexus, 2990cc, Engine 1MZ, Yr 1999, Petrol na ina bomba mbili (eksos)

Plz, naomba kuwasilisha...
Nisikujibu kuhusu piston bali ukubwa wa mashine ambayo ni 2500 mpaka 3000cc gari ya starehe isiyopenda dhoruba za mishemishe wala mafuta ya mawazo
Ukiihudumia vema utaipenda
 
kwa nyongeza ya jibu la mshana jr, gari hivo ina piston 6, engine V6 (1MZ-FE) pamoja na 4WD nyepesi.
Cha msingi usiwe na mafuta ya mawazo manake utapata presha.
 
Mkuu kuna button nyekundu upande kwa mbele gear liver inapoishia ila kazi yake siijui, nikiweza kuweka picha nitakuwekea
 
Wakuu hii button nyekundu inanichanganya cjui kaz yake ni nini, naomba msaada!
 
Attachments

  • 1452784761518.jpg
    1452784761518.jpg
    39 KB · Views: 77
Back
Top Bottom