LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
mkuu wapatikana wapi kama bongo twaweza tafutana na mm nikaicheki? lakini vipi umejaribu kulipima? na ilikuwaje mpaka likaha hivyo? ulijaribu kucheki airflow sensor? je gari hsins miss?? daaa na maswali mengi sana mkuu.Habari mika wana jamvi,
Mimi naomba ufahamu kuhusu gari langu aina ya Kia sportage.... Inanisumbua inawaka lakini haichanganyi mafuta... Nimebadili plugs... Air flow na fuel injection zote lakini tatizo bado liko palepale na inatoa harufu kali ya mafuta yasioungua vizuri kwenye exhaust. Pls mwenye uzoefu na gari hizi anisaidie