Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Thnx. Ilikua kitu cha ghafla sana na sijawahi pata shida hio tena na naogopa kujaribu kwa makusudi. Mimi ni engineer lakini sio wa magari kwa hio nimekua najiuliza kwa miaka mingi sana is it possible kweli kwamba due to high speed na wajapan wakijua fika bahati mbaya zipo unaweza sukuma gear lever bahati mbaya so wakaprotect gari against that situation. Anyway may be haikufika kwenye R kweli.
Gari ya auto lever inaweza kuingia R ikiwa kwenye mwendo lakini aiharibu gear box. Vilevile gia R huwezi kuitumia ku counter rev gear box endapo brake zimefail.

Kwa gari ya manual haiingii kabisa. Hii imeshajaribiwa na jamaa wa MYTHBUSTER!
 
Mafundi hebu nisaidieni hapa......mteja wangu kaja garage na gari inapigwa kelele mbele......katika kuikagua.....nikakuta bush kubwa ya wishbone inakufa........(bado haijafa sawasawa)......sasa tunataka tufunge mpya........wapi naweza pata hiyo bush yenyewe bila kununua wishbone nzima............?......gari ni Rav4 ZCA26.........

Cc Mshana Jr.......@LEGE.......@kaizer........@OLESAIDIMU........@MANI......@RRONDO........
 
Nairobi Toyota ni fasta
 
Asante mkuu..........japo najua itabidi gari ikae juu ya mawe Ili sample zichukuliwe Ili zifitishwe hukohuko na kupresiwa kabisa........
It's better a thousand times kuliko Dar!!! Trust me utasave a lot kama ukienda kwa Kenyatta
 
Wakuu naomba kujua zaidi kuhusu engine oil na gear box oil katika haya
1. Zipi ni synthetic na Zipi ni natural
2. Katika hizo aina ni magari yapi hutumia synthetic au natural
3. Utatambuaje oil sahihi kwa gari yako
4. Katika kubadilisha oil ya engine na gearbox zile km 3000 ni recommended toka kiwandani au ni mazoea turn
5. Oil Zipi ni best kwa gari ndogo kuanzia cc2000 na kushuka chini
 
Wakuu naombeni juu ya uimara wa Toyota Cami, nimezipenda sana gari za aina hii, kwanza engine ndogo (cc1300), hipo juu naweza pita hata rough roads ila tatizo sizifahamu vizuri matatizo yake makubwa. Kama kuna mwenye uzoefu tafadhali..
 
Naomba na mimi niunganishe hapo mkuu wenye uzoefu watupe...kati ya toyota cami na suzuki jimny wide...ipi iko vizuri katika rough roads?
Natanguliza shukrani.
 
Chukueni zote ziko vizuri ila zingatieni kanuni za kumiliki gari na utunzaji wake
 
Aksante sana...
Ambiere samahani kidogo...unaposema kanuni za umiliki unamaanisha nn?
Utunzaji wa kawaida na kuzingatia service pia kupunguza mikono yaani madereva kwenye gari lako lakini pia kuna watu majuha mno eti anazima AC kufidia mafuta, huku ni kuchakaza gari kwa upumbavu au ubahili usio na tija
Lakini pia zingazia genuine kwenye chochote kuanzia lubricants mpaka parts ,mwendo wa tahadhari kwenye barabara mbaya nknk
 
Mkuu Mshana,gari inachakaa vp kwa kuzima AC?Pls clarify
 
Beautification ya ndani, barabara zetu Africa na mazingira yetu sio rafiki kabisa kwa utanashati wa gari, hakuna kitu kibaya Kama vumbi linaloingia kwenye gari
 
Thanks,na je kuna ongezeko la matumizi ya mafuta unapowasha AC au ni kawaida tu,pls
 
Mshana gari yangu inashindwa kuwaka hadi nirudie zaidi ya Mara moja ni corolla110
 
Back
Top Bottom