Siku hizi vipuri sio ishu tena after all hununui pikipiki kwamba kila wakati inabidi kubadili kitu fulaniShukrani zaidi mkuu, vipi kuhusu upatikanji wake wa vipuri, being na ufundi (kimatengenezo) ukilinganisha na Subaru?
Binafsi nilikua naogopa kununua, maana naona si watu wengi sana wenye azo, hasa kwa maeneo ya Dar, Mwanza or Arusha.
Na vipi kuhusu Honda Hrv dhidi ya Nissan x trail? Samahani kama nakusumbua lakini nahitaji sana ushauri ili niweze kufanya chaguo sahihi na ambalo sitokuja kulijutia.Wonderful...inakamata barabara hasa
Teehehehehe kweli mkuu.Siku hizi vipuri sio ishu tena after all hununui pikipiki kwamba kila wakati inabidi kubadili kitu fulani
Nissan X-trail hapana chukua Honda kuanzia RD4 na kuendelea...ukipata RD5 the bestNa vipi kuhusu Honda Hrv dhidi ya Nissan x trail? Samahani kama nakusumbua lakini nahitaji sana ushauri ili niweze kufanya chaguo sahihi na ambalo sitokuja kulijutia.
Mkuu hizi RD 4 or 5 ndio zinanichanganya sana, maana hata ufahamu wake sijui ni nini? Ni mgeni kabisa katika masuala ya haya ya magari. Ndio maana nikatanguliza ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu binafsi.Nissan X-trail hapana chukua Honda kuanzia RD4 na kuendelea...ukipata RD5 the best
Chukua hutajuta trust meMkuu hizi RD 4 or 5 ndio zinanichanganya sana, maana hata ufahamu wake sijui ni nini? Ni mgeni kabisa katika masuala ya haya ya magari. Ndio maana nikatanguliza ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu binafsi.
Ushauri wako ni muhimu sana mkuu katika kunitoa ujinga huu.
Mkuu bado hujanipa elimu kuhusu hizo RD4 or RD5 ni nini hasa.Chukua hutajuta trust me
Ukipita sehemu yenye moshi tu au kila ukiingia kwenye gari na harufu inaanza
Habari zenu wadau! Naomba kuuliza, gari yangu nilikuwa natumia oil ya total ila sasa nataka kutumia ya bp je, kuna madhara yoyote nikibadilisha!?
Kwenye zile knobs za AC, angalia 1 inakuwa na ki mshale fulani kimejikunja kuelekea kwenye mkia wake. Kazi ya hiyo knob ni kuruhusu au kuzuia hewa ya nje isiingie ndani. Ikiwa off basi inaruhusu hewa ya nje iingie ndani ya gari ichanganyike na ya AC. Ikiwa ON basi inazuia hewa ya nje, zaidi inakuwa ina circulate hewa ya ndani ya gari humohumo inayozalishwa na AC. Angalia hilo.Ukipita kwenye moshi au sehemu yenye harufu yeyote mkuu
Mkuu Mshana naomba kujuzwa nimeagiza engine oil ya gari RAV 4 ya mwaka 1997 nimeletewa ya BP (Visco 3000 SAE 20W-50).Kwa gari hiyo inaweza kua oil sahihi???Hakuna madhara kabisa
Ngoja Mshana ajeMkuu Mshana naomba kujuzwa nimeagiza engine oil ya gari RAV 4 ya mwaka 1997 nimeletewa ya BP (Visco 3000 SAE 20W-50).Kwa gari hiyo inaweza kua oil sahihi???
Kwenye zile knobs za AC, angalia 1 inakuwa na ki mshale fulani kimejikunja kuelekea kwenye mkia wake. Kazi ya hiyo knob ni kuruhusu au kuzuia hewa ya nje isiingie ndani. Ikiwa off basi inaruhusu hewa ya nje iingie ndani ya gari ichanganyike na ya AC. Ikiwa ON basi inazuia hewa ya nje, zaidi inakuwa ina circulate hewa ya ndani ya gari humohumo inayozalishwa na AC. Angalia hilo.