Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Shukrani zaidi mkuu, vipi kuhusu upatikanji wake wa vipuri, being na ufundi (kimatengenezo) ukilinganisha na Subaru?
Binafsi nilikua naogopa kununua, maana naona si watu wengi sana wenye azo, hasa kwa maeneo ya Dar, Mwanza or Arusha.
Siku hizi vipuri sio ishu tena after all hununui pikipiki kwamba kila wakati inabidi kubadili kitu fulani
 
Wonderful...inakamata barabara hasa
Na vipi kuhusu Honda Hrv dhidi ya Nissan x trail? Samahani kama nakusumbua lakini nahitaji sana ushauri ili niweze kufanya chaguo sahihi na ambalo sitokuja kulijutia.
 
Nissan X-trail hapana chukua Honda kuanzia RD4 na kuendelea...ukipata RD5 the best
 
Mkuu hizi RD 4 or 5 ndio zinanichanganya sana, maana hata ufahamu wake sijui ni nini? Ni mgeni kabisa katika masuala ya haya ya magari. Ndio maana nikatanguliza ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu binafsi.
Ushauri wako ni muhimu sana mkuu katika kunitoa ujinga huu.
 
Chukua hutajuta trust me
 
Habari zenu wadau! Naomba kuuliza, gari yangu nilikuwa natumia oil ya total ila sasa nataka kutumia ya bp je, kuna madhara yoyote nikibadilisha!?
 
Hakuna madhara kabisa
 
Habari zenu wadau! Naomba kuuliza, gari yangu nilikuwa natumia oil ya total ila sasa nataka kutumia ya bp je, kuna madhara yoyote nikibadilisha!?

Kwanini unabadilisha mkuu??? Ya total inatatizo gani kwani???
 
Wakuu sijui kama hili limeulizwa. Hizi gari ambazo zinatumia push start keyless smart engine zina udhaifu gani ? Ikitokea gari ikashindwa kuwaka kuna wataalam wa kuzingeneza? Na zile fob key na betri zake zinapatikana kiurahisi na cost zake zikoje? mshana jr RRONDO Preta na wengine
 
Ukipita kwenye moshi au sehemu yenye harufu yeyote mkuu
Kwenye zile knobs za AC, angalia 1 inakuwa na ki mshale fulani kimejikunja kuelekea kwenye mkia wake. Kazi ya hiyo knob ni kuruhusu au kuzuia hewa ya nje isiingie ndani. Ikiwa off basi inaruhusu hewa ya nje iingie ndani ya gari ichanganyike na ya AC. Ikiwa ON basi inazuia hewa ya nje, zaidi inakuwa ina circulate hewa ya ndani ya gari humohumo inayozalishwa na AC. Angalia hilo.
 
Mkuu Mshana naomba kujuzwa nimeagiza engine oil ya gari RAV 4 ya mwaka 1997 nimeletewa ya BP (Visco 3000 SAE 20W-50).Kwa gari hiyo inaweza kua oil sahihi???
Ngoja Mshana aje
Lkn hiyo RAV 4 ni petrol ni sahihi upate oil SAE 40 hicho kilichoandikwa hadi 50 ndio kinanitisha maana gearbox ni 90 na diff ni 120

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Mshana naomba kujuzwa nimeagiza engine oil ya gari RAV 4 ya mwaka 1997 nimeletewa ya BP (Visco 3000 SAE 20W-50).Kwa gari hiyo inaweza kua oil sahihi???
Kama namba zinaendana hakuna shida kabisa
 
na mi naomba kuuliza kuhusu engine oil nna gari yangu toyota raum 2005 model ndo imefika toka japan ina engine ya 1NZ-Fe 1498cc nataka kubadili engine oil kwenye manual book wamerecommend 5W-30 ambayo nimetafuta dar nzima hakuna, mafundi wengi wameniambia niweke total au castrol 20W-50. Je hii oil inafaa kwenye hii engine?
 
Kwenye zile knobs za AC, angalia 1 inakuwa na ki mshale fulani kimejikunja kuelekea kwenye mkia wake. Kazi ya hiyo knob ni kuruhusu au kuzuia hewa ya nje isiingie ndani. Ikiwa off basi inaruhusu hewa ya nje iingie ndani ya gari ichanganyike na ya AC. Ikiwa ON basi inazuia hewa ya nje, zaidi inakuwa ina circulate hewa ya ndani ya gari humohumo inayozalishwa na AC. Angalia hilo.

Asante mkuu, kweli kilikuwa Off, now nimeturn ON hali shwari kabisa
 
Waungwana naombeni ushauri wa haraka,
Nimekuja fanya service sasa nataka nibadili hydroulic ya gear box,
Stick haiyonekeni na koki yenyewe haipo.
Wala kibox cha sterling hydraulic hakipo.
Hii inakuaje?? Ya mwaka 2006
 
Back
Top Bottom