Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #4,501
Siku hizi vipuri sio ishu tena after all hununui pikipiki kwamba kila wakati inabidi kubadili kitu fulaniShukrani zaidi mkuu, vipi kuhusu upatikanji wake wa vipuri, being na ufundi (kimatengenezo) ukilinganisha na Subaru?
Binafsi nilikua naogopa kununua, maana naona si watu wengi sana wenye azo, hasa kwa maeneo ya Dar, Mwanza or Arusha.