Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wakubwa habarini. Nilikua naomba kujua kwann watu wengi hawapndelei gari aina ya mercedez benzi na bmw.. kiufundi huwa zinasumbua?? au nini tatizo haswaa
 
Wakubwa habarini. Nilikua naomba kujua kwann watu wengi hawapndelei gari aina ya mercedez benzi na bmw.. kiufundi huwa zinasumbua?? au nini tatizo haswaa
Watanzania wengi wamezoea magari ya kijapan ambayo vipuri vyake vipo mpaka uchochoroni na mafundi pia na hata bei imepoa
BMW na BENZ zinachukuliwa kama gari za gharama na masharti kibao, lakini kwangu mimi kitu ni BMW , ukifuata masharti yake hakuna gari bora na imara kama hizo
 
Asante kwa elimu yako kuhusu tyres na rim. Mm ni mgeni wa kumiliki gari hivyo nitakuwa nakusumbua kwa maswali mpaka niwe mzoefu na mm
 
Wakuu habari

Gari yangu aina ya Carina haibadilishi gear kabisa inatembea namba moja tu, gearbox ni automatic...tatizo linaweza kuwa nini?
 
Wakuu habari

Gari yangu aina ya Carina haibadilishi gear kabisa inatembea namba moja tu, gearbox ni automatic...tatizo linaweza kuwa nini?
hapo kuna mambo mengi sana yanayoweza kusababisha hali hiyo mkuu? hapo cha msingi tafuta fundi aipime .sababu kuna mambo mawili linaweza kuwa tatizo la kiumeme au tatizo la kimakenika

na zote mbili zina sababu zake ndani yange zaidi ya 2 or 3 mfano kama ni shida ya umeme kuna sensor,valve,au short or open circuirt na kwenye makenika kuna ishu ya hydrolic ,clutch kuungua n.k
 
Habari wa wana Jf
Mm naomba kufahamu zaidi kuhusu hii injini aina ya 5A za kwenye Toyota corolla.
1. Ulaji wake wa mafuta.
2.Zaidi ina totauti gani na 7A
3.Upatikanaji wake (Spare) madukani
Natanguliza shukrani zangu ndg zangu
 
Habari wa wana Jf
Mm naomba kufahamu zaidi kuhusu hii injini aina ya 5A za kwenye Toyota corolla.
1. Ulaji wake wa mafuta.
2.Zaidi ina totauti gani na 7A
3.Upatikanaji wake (Spare) madukani
Natanguliza shukrani zangu ndg zangu
Ungemalizia na kusema kama ni 5A-F, 5A-FE or 5A-FHE ingeakua vizuri zaidi
 
Nashukuru mkuu kwa majibu murua.
 
Nnlikua natafuta hii kitu,angalau afadhali
 
Hivi tatizo la kupoteza signs kwenye dash board kama za seat belt au door open shida inaweza kuwa nn. Mwanzon gari inaonyesha kila kitu kama hujafunga mkanda inaonyesha sign kama mlango haujafungwa inaonyesha sign lakin ghafla sign za belt zikaacha kuonyeshwa. Tatizo linaweza kuwa ni nn
 
Loose connections kwenye sensors
 
wakuu, hiace super custom 1kz-te engine, inatumika kama daladala. inalamba wese lita 1 kwa 7km afu inatoa moshi mwingi. nozzle nishabadili lakin bado tatizo lipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…