Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wakubwa habarini. Nilikua naomba kujua kwann watu wengi hawapndelei gari aina ya mercedez benzi na bmw.. kiufundi huwa zinasumbua?? au nini tatizo haswaa
 
Wakubwa habarini. Nilikua naomba kujua kwann watu wengi hawapndelei gari aina ya mercedez benzi na bmw.. kiufundi huwa zinasumbua?? au nini tatizo haswaa
Watanzania wengi wamezoea magari ya kijapan ambayo vipuri vyake vipo mpaka uchochoroni na mafundi pia na hata bei imepoa
BMW na BENZ zinachukuliwa kama gari za gharama na masharti kibao, lakini kwangu mimi kitu ni BMW , ukifuata masharti yake hakuna gari bora na imara kama hizo
 
Kuna brands nyingi za tairi nzuri, na bei pia zinatofautiana saana kwa factors nyingi, ikiwemo size unayotaka. Ila kikubwa inategemeana na matumizi yako ya gari. Kama unasafari za mwendo mrefu za mara kwa mara ni bora kununua brands kama Kumho, Pirelli, Dunlop etc, ni uhakika. Kwa safari za mjini, hakuna shida, brand yeyote inakusukuma vizuri tu, hata za Kichina as long as utafanya investment ya mara kwa mara kwenye wheel alignment kuzuia tairi kuisha upande mmoja na kukagua upepo mara kwa mara.

Kuhusu rims, kama unapenda za alloy, as as opposed to zile za chuma, then ninakushauri utafute used za Toyota hasa Rav4, Kluger n.k kuliko kununua mpya za aftermarket. Mpya za madukani haziaminiki saana, hasa kama unasafiri usiku ambapo unaweza piga shimo za kutosha ukiwa barabarani. Hizo used unaweza pata kuanzia Tshs 600,000 - Tshs 1,000,000
Asante kwa elimu yako kuhusu tyres na rim. Mm ni mgeni wa kumiliki gari hivyo nitakuwa nakusumbua kwa maswali mpaka niwe mzoefu na mm
 
Wakuu habari

Gari yangu aina ya Carina haibadilishi gear kabisa inatembea namba moja tu, gearbox ni automatic...tatizo linaweza kuwa nini?
 
Wakuu habari

Gari yangu aina ya Carina haibadilishi gear kabisa inatembea namba moja tu, gearbox ni automatic...tatizo linaweza kuwa nini?
hapo kuna mambo mengi sana yanayoweza kusababisha hali hiyo mkuu? hapo cha msingi tafuta fundi aipime .sababu kuna mambo mawili linaweza kuwa tatizo la kiumeme au tatizo la kimakenika

na zote mbili zina sababu zake ndani yange zaidi ya 2 or 3 mfano kama ni shida ya umeme kuna sensor,valve,au short or open circuirt na kwenye makenika kuna ishu ya hydrolic ,clutch kuungua n.k
 
Habari wa wana Jf
Mm naomba kufahamu zaidi kuhusu hii injini aina ya 5A za kwenye Toyota corolla.
1. Ulaji wake wa mafuta.
2.Zaidi ina totauti gani na 7A
3.Upatikanaji wake (Spare) madukani
Natanguliza shukrani zangu ndg zangu
 
Ungemalizia na kusema kama ni 5A-F, 5A-FE or 5A-FHE ingeakua vizuri zaidi
 
Ungemalizia na kusema kama ni 5A-F, 5A-FE or 5A-FHE ingeakua vizuri zaidi
IMG-20161223-WA0009.jpg
 
hapo kuna mambo mengi sana yanayoweza kusababisha hali hiyo mkuu? hapo cha msingi tafuta fundi aipime .sababu kuna mambo mawili linaweza kuwa tatizo la kiumeme au tatizo la kimakenika

na zote mbili zina sababu zake ndani yange zaidi ya 2 or 3 mfano kama ni shida ya umeme kuna sensor,valve,au short or open circuirt na kwenye makenika kuna ishu ya hydrolic ,clutch kuungua n.k
Nashukuru mkuu kwa majibu murua.
 
Kaka nimekuwa nikitumia Corolla Van kwa barabara za vumbi muda mrefu tu.Gari inahimili ingawa haina mvuto mzuri kwa muonekano wake ila kwa barabara mbovu gari haitaabiki.Ni gari nzuri tu kwa mtu wa kipato cha chini maana spare parts zinapatikana tena kwa bei chee..ulaji wa mafuta mzuri ni 14 km/ litre.
Engine zipo 5A, 4E, 5E mpaka 2E ya Cabulator .Performance zake zinakaribiana tu.Wataalamu zaidi watapita kusema.
Nnlikua natafuta hii kitu,angalau afadhali
 
Hivi tatizo la kupoteza signs kwenye dash board kama za seat belt au door open shida inaweza kuwa nn. Mwanzon gari inaonyesha kila kitu kama hujafunga mkanda inaonyesha sign kama mlango haujafungwa inaonyesha sign lakin ghafla sign za belt zikaacha kuonyeshwa. Tatizo linaweza kuwa ni nn
 
Loose connections kwenye sensors
 
wakuu, hiace super custom 1kz-te engine, inatumika kama daladala. inalamba wese lita 1 kwa 7km afu inatoa moshi mwingi. nozzle nishabadili lakin bado tatizo lipo
 
Back
Top Bottom