kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,965
Kwa uzoefu wangu kama unasafiri safari ndefu ni vizur over drive kuwa On hii itakusaidia gari kukimbia zaidi kwani ikiwa Off halaf unasafir safari ndefu utaichosha injini kwani itakuwa inadai gear nyingne wakati gearbox haijapewa nafasi ya kubadili, pia hiyo itachangia gari kutumia mafuta mengi lakn ikiwa On itarahisisha gari kukimbia zaidi na kubadili. Kumbuka unashauriwa kabla ya kuo-overtake gari unatakiwa kuiweka Off ili kuipa gari nguvu zaidi.
Most likely itakuwa ni alert ya timing belt inakaribia kwisha matumizi yakeHeshima kwenu wataalam, gari yangu taa ya cheki engine inawaka na kuzima, ikiwaka naweza tembea hata km 600 ndio ikawaka tena. tatizo linaweza kuwa nini?
Kwa ushauri wangu fanya diagnosisYani Ndomana Naipenda sana JF Mimi naomba kujua Mwenye uzoefu wa Gari Aina ya TOYOTA WISH Gari yangu nikiendesha Speed 80 halafu Ghafla nikapunguza Speed ikafika kwenye 40 Speed Hapo Hapo inakuwa kama inataka kuzima Nimeona niulize kabla Sijaenda kwa Fundi labda tatizo Mnaweza lijua nikaliwa bule pesa na Fundi Asanteni Wakuu Najua Ntapata jibu...