kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,965
Wana JF naomba msaada,gari yangu aina ya SUZUKI KEI imepata tatizo ambapo nikikanyaga mafuta mpaka mwisho gari haiondoki kabisa,ingine inavuma tu na nilipomwita fundi kurekebisha akatoa filter ya transmission(kwenye sump) na kuisafisha ikakubali kutembea kwa muda ila bado tatizo linajitokeza ambapo engine inakosa nguvu kabisa baada ya kipindi kifupi.Msaada wenu please