Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wasalam wataalamu, kwanza nikiri mimi sio mtaalamu wa gari kabisa zaid ya kuwasha na kuendesha tu. Nimepaki gari then nikampa funguo mshikaji, sasa kazungusha stearing baadae kutaka kuwasha gar haiwaki na hata funguo hazizunguki kabisa, yaani ni kama stearing imeji lock.
Naombeni msaada wataalam nini kimesababisha na je niite fundi kabisa?
 
Tatizo umezungusha steering kabla ya kuwasha! Ila weka ufungua, ukiwa unazungusha kulia kushoto then washa. Steering imejilock
 
msaada jmn hivyo vitaa vinamaana gani ukiwasha gari vinatokea
 
Wakuu habari za humu ndani..
Naombeni kujua kama kuna madhara yeyote kama engine oil itazid yani kuvuka kili kidot cha juu cha kwenye stick
 
Wakuu habari za humu ndani..
Naombeni kujua kama kuna madhara yeyote kama engine oil itazid yani kuvuka kili kidot cha juu cha kwenye stick
Madhara yapo makubwa tuu mkuu.

Usitumie.hivyo fanya mpango uipunguze.
Kwanza inaweza kuharibu seal mbali mbali za kwenye engine.inaweza fumua seal na hata kuludisha au pandisha oil kwenye mainford na kama gari ya turbo unaweza ua,haribu turbo
 
Badili vvt-i switch basi.
 
Badili cylinder head......imekufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…