Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Haya ni matumizi mabaya ya decorations
-gari unaiongezea kilo bila sababu
-shape asilia inapotea
-ufujaji wa pesa
-etcView attachment 541693

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Huyu kama sio MKONGO basi ana nasaba na wakongo. Na hiko ndani utakuwa imepakwa mpaka powder na make up.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Daah wadau nimenunua gari zanzibar, misukosuko ninayoipata hapa sitamani mwamna JF yeyote aje akumbane nayo, Ngoja mpaka ikifika mikononi mwangu nitakuja kuwapa mrejesho wadau tuombeane dua.
 
Daah wadau nimenunua gari zanzibar, misukosuko ninayoipata hapa sitamani mwamna JF yeyote aje akumbane nayo, Ngoja mpaka ikifika mikononi mwangu nitakuja kuwapa mrejesho wadau tuombeane dua.
Mkuu vipi
 
Hivi ni kweli kuwasha AC muda mwingi kuna maliza mafuta?
Nilishasikia mahali kutoka kwa mtaalamu fulani, alisema kuwa wanaposema gari fulani inatumia labda 12km per litre huwa inamaanisha full usage consumption yaan vitu vyote vinavyoconsupt mafuta vinakuwa vinatumika.
 
Engine ya gx100 itakua ni 1G-FE Beams. Hii ni interference engine, ikimaanisha kwamba timing belt ikikatika, pistons zinagongana na valves. So kama uliiwasha, kuna uwezekano mkubwa hicho kitu kilitokea.
 
Naomba mwenye uzoefu ama kujua haya magari aniambie kwa kirefu...in terms of spare availability hapa tz.. uimara..fuel economy...na kila kitu kwa ujumla
1. NISSAN JUKE
2. NISSAN QASHQAI


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vp Audi A3?
 
Mkuu vp Audi A3?
Audi ziko poa sana mkuu sina ila jamaa yangu anayo A4 Cheki A4 A3 sizijui ila A4 ndio zimejaa sana kwa sasa Bongo zipo Avant na Sedan kiukwel asikudanganye mtu gari hizi ni cheap na ni imara na Comftable sana hujutii kazi ya mjerumani Speed kubwa 220km/h.Mil 13 hadi 16 unamiliki mkononi Kuanzia 2005 Toyota hazina cha ziada mkuu ila hizi kitu mjerumani hakukosea.

Sent using Iphone 7+
 
Kweli Mkuu.. sema cjajua kuhusu spear zake na mafundi apa tz
Na vp hizi Nissan Juke? Na Qashqai
 
Mkuu niambie kuhusu hizi NISSAN JUKE na Nissan Qashkai basi
Unajibiwa kulingana na gari ambazo wanaokujibu wamewahi kumiliki au kuendesha au kuwa nazo jilani hizo Nissan mkuu watumiaji sio wengi Tz labda Nissan nyingine kama Murano nk.So ukiona kimya ujue watu wanaepuka kukujibu pasipo na uhakika so subili wazoefu waje.

Sent using Iphone 7+
 
Poa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…