denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,950
Huyu kama sio MKONGO basi ana nasaba na wakongo. Na hiko ndani utakuwa imepakwa mpaka powder na make up.Haya ni matumizi mabaya ya decorations
-gari unaiongezea kilo bila sababu
-shape asilia inapotea
-ufujaji wa pesa
-etcView attachment 541693
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
"PAMBANA NA HALI YAKO"