Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali


Mkuu ya Cylinder nne kwa Altezza ni Engine ya Honda, ina usumbufu wake. Pamoja na ukubwa wa Engine, inashauriwa ununue 6cylinder kama una mapenz na Altezza, ambapo ulaji wake ni sawa na Verossa. Hiyo ya 4cylinder kutoka moyoni nakushauri usinunue
 
Jamani nataka kuagiza Altezza sasa nataka ya 4c siyo ya 6c nazitofautishaje na je ipi ni nzuri ya 4c au ya 6c maana nasikia ya 6c ni balaa inakata wese vibaya


Mkuu ya Cylinder nne kwa Altezza ni Engine ya Honda, ina usumbufu wake. Pamoja na ukubwa wa Engine, inashauriwa ununue 6cylinder kama una mapenz na Altezza, ambapo ulaji wake ni sawa na Verossa. Hiyo ya 4cylinder kutoka moyoni nakushauri usinunue

Kaka ukiona engine ya Alteza ina engine ya 4 cylinder tofauti na 3s basi ujue ni modification period, Naongea kitu nachofanyia kazi sio ubabaishaji. Nitajie aina ya engine ya Honda ambayo inaingiliana na mounting ya Alteza pamoja na Gearbox yake please utakua umenielimisha.

Apart from 3s ya RAV4 wanao customize ni wale wanaofanya sports kama RAlly hata YAMAHA inaingia humo. Alteza inayotoka japan kwa market ya kawaida kaka ni 3s ya RAV4 kama ni cylinder 4 utatafuta hiyo engine ya Honda mpaka ukome.
 
Mkuu ya Cylinder nne kwa Altezza ni Engine ya Honda, ina usumbufu wake. Pamoja na ukubwa wa Engine, inashauriwa ununue 6cylinder kama una mapenz na Altezza, ambapo ulaji wake ni sawa na Verossa. Hiyo ya 4cylinder kutoka moyoni nakushauri usinunue

Kwa kuongeza hizi hapa Engine za Alteza from Toyota

2.0 L 1G-FE I6 (AS200/IS200) wengine wanaita 1G curve au mshana jr ana jina lake nimelisahau tu na hii engine inakaa kwenye GX 100 pia.

The DOHC 1G-FE uses a narrow valve angle and other fuel economy optimizations. It was introduced in 1988. Output was 135 hp (101 kW) at 5,600 rpm and 130 lb·ft (176 Nm) at 4,400 rpm. In 1998 VVT-i was added, which bumped output to 160 hp (119 kW) at 6,200 rpm and 148 lb·ft (200 Nm) at 4,400 rpm for the Altezza/IS 200. With the end of the first generation Lexus IS this engine ceased production in 2005.
Applications:


2.0 L 3S-GE I4 (RS200) There are five generations of the 3S-GE, which were used in the Toyota Celica, MR2, Caldina, RAV4, and Altezza. All 3S-GE engines had a displacement of 2.0 L (1,998 cc). Additionally, the turbocharged 3S-GTE engines are based on the 3S-GE platform.

3.0 L 2JZ-GE I6 (AS300/IS300)
The 2JZ-GE is a common version. Output is 215–230 PS (158–169 kW; 212–227 bhp) at 5800 to 6000 rpm and 209–220 lb·ft (283–298 N·m) of torque at 3800 to 4800 rpm.
It uses Sequential Electronic Fuel Injection, has an aluminum head and 4 valves per cylinder with some versions using VVT-i, along with a cast-iron cylinder block. The VVT-i version also featured DIS in favor of the traditional distributor set-up previously seen on the 2JZ-GE. Despite common misconception it was not a true COP (Coil-On-Plug, also known as Plug-top coil) ignition system instead relying on one coil to fire two cylinders, one of which was by spark plug wire.
Applications:

 
Jinsi ya kuondoa ukungu ktk kioo cha gari cha mbele.
 
Mkuu ya Cylinder nne kwa Altezza ni Engine ya Honda, ina usumbufu wake. Pamoja na ukubwa wa Engine, inashauriwa ununue 6cylinder kama una mapenz na Altezza, ambapo ulaji wake ni sawa na Verossa. Hiyo ya 4cylinder kutoka moyoni nakushauri usinunue

Kila engine ina merits na demerits zake muhimu ni upatikanaji wa spareparts zote zinatengenezeka so muache anunue usim-discourage mwenzio hivo mkuu,tushafanya modii na complex repairs hakuna kinachoshindikana ktk gari hata ukitaka kuiendesha kwa miaka ya kutosha muhimu ni matunzo,service kwa wakati na checkups kila inapobidi
 

"cha ngoghwe" hahahaa thanks buddy!
 
Last edited by a moderator:

Thanks buddy!
 
Hivi naweza kupata pickup double cabin hivi vidogo kwa million 7 hivi?
 
Mkuu mshanajr hongera sana kwa uzi huu!!
Wakuu mi naomba msaada wa softcopy ya Owners' Manual Toyota Opa.
Ahsantani
 
naomba kujuzwa huu ya Suzuki escudo manual
uimara wake

Eskudo zile model za mkate nikimaanisha za zamani (1990-96) ni ngumu na zinavumilia shida, ishu kwenye gari ya manual ambayo inaweza kutokea ni kufa clutch au gearbox sababu ya upigaji tofauti tofauti wa gear mkuu.

Gari yoyote manual kila mtu ana swaga lake la upigaji gear thats y.
 
a
Asante sana gear box ikifa si ninaweza weka ingine au nikaibadilisha ikawa automatic?
 
nina gari KIA sportage model 1997,inasumbua fuel consumption mwenye uzoefu anisaidie
 

Mimi nina toyota CAMI niliagiza toka Japan mwaka 2011. Binafsi niliipenda kutokana na nafasi kubwa kutoka chini au uvungu. Ulaji wa mafuta pia ni mzuri. Nikiweka full tank lt 40 natoja Dar mpaka Same ndio taa inawaka. Ulaji wake wa mafuta highway unafika lt1/km 13 barabara za mjini lt 1/km 8 hadi 9 kutegemea na uendeshaji. Siri moja juu ya ulaji wa mafuta usiweke chini ya lt 15.
 
Msaada wana jamvi gari yangu raum old model nikiendesha sehemu ya muinuko speed inapungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…