Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mkuu hizi Alteza zipo zinazotumia Engine ya 3s ya rav4 halafu pia zipo zinazotumia 1JZ nk so hizi s series huwa zina cylinder nne. Mie namshauri achukue yenye cylinder 4 atakua na tofautiya kilomita 2 kwa lita ambayo sio mbaya inaweza ikakutoa porini.

Mkuu ya Cylinder nne kwa Altezza ni Engine ya Honda, ina usumbufu wake. Pamoja na ukubwa wa Engine, inashauriwa ununue 6cylinder kama una mapenz na Altezza, ambapo ulaji wake ni sawa na Verossa. Hiyo ya 4cylinder kutoka moyoni nakushauri usinunue
 
Jamani nataka kuagiza Altezza sasa nataka ya 4c siyo ya 6c nazitofautishaje na je ipi ni nzuri ya 4c au ya 6c maana nasikia ya 6c ni balaa inakata wese vibaya

kiipwi cha ngoghwe sidhani kama zipo Altezza 4S na kama zipo ulaji wake waweza uwe hautofautiani sana na 6S
ANGALIZO:
Unaweza ukawa na gari 6S na ikatumia mafuta vizuri zaidi kuliko mwenye 4S! Hii ni kutokana na uendeshaji, kwa mfano unatoka shekilango kuelekea mjini unajua kabisa ukifika big brother lazima upunguze mwendo lakini mtu anaivuta mpaka spidi 80 halafu akifika big anapunguza mpaka spidi 30 then anavuta tena akifika tiptop anapunguza tena huo ni uharibifu was mafuta, kwa jinsi hiyo utakuwa unapoteza mafuta mengi bila sababu

Vilevile hata safari ndefu ongeza mafuta taratibu na jitahidi kucontrol spidi yani kama una hakika kipande fulani hakina kupunguza mwendo ongeza mwendo taratibu mpaka spidi uitakayo kisha nenda nayo hiyo mpaka utakapotaka kupunguza punguza taratibu pia

Ukiwa mtu wa kupanda na kushuka yani mara umevuta toka spidi 80 mpaka 120 mara ukashuka ghafla mpaka 70 kisha mara ukavuta tena mpaka 120, 30, 40 nk kisha ukashuka ghafla utaisoma

Mwisho uendeshaji wa mjini ni ghali mno kwa mafuta kwakuwa break ni kila dakika

Mkuu ya Cylinder nne kwa Altezza ni Engine ya Honda, ina usumbufu wake. Pamoja na ukubwa wa Engine, inashauriwa ununue 6cylinder kama una mapenz na Altezza, ambapo ulaji wake ni sawa na Verossa. Hiyo ya 4cylinder kutoka moyoni nakushauri usinunue

Kaka ukiona engine ya Alteza ina engine ya 4 cylinder tofauti na 3s basi ujue ni modification period, Naongea kitu nachofanyia kazi sio ubabaishaji. Nitajie aina ya engine ya Honda ambayo inaingiliana na mounting ya Alteza pamoja na Gearbox yake please utakua umenielimisha.

Apart from 3s ya RAV4 wanao customize ni wale wanaofanya sports kama RAlly hata YAMAHA inaingia humo. Alteza inayotoka japan kwa market ya kawaida kaka ni 3s ya RAV4 kama ni cylinder 4 utatafuta hiyo engine ya Honda mpaka ukome.
 
Mkuu ya Cylinder nne kwa Altezza ni Engine ya Honda, ina usumbufu wake. Pamoja na ukubwa wa Engine, inashauriwa ununue 6cylinder kama una mapenz na Altezza, ambapo ulaji wake ni sawa na Verossa. Hiyo ya 4cylinder kutoka moyoni nakushauri usinunue

Kwa kuongeza hizi hapa Engine za Alteza from Toyota

2.0 L 1G-FE I6 (AS200/IS200) wengine wanaita 1G curve au mshana jr ana jina lake nimelisahau tu na hii engine inakaa kwenye GX 100 pia.

The DOHC 1G-FE uses a narrow valve angle and other fuel economy optimizations. It was introduced in 1988. Output was 135 hp (101 kW) at 5,600 rpm and 130 lb·ft (176 Nm) at 4,400 rpm. In 1998 VVT-i was added, which bumped output to 160 hp (119 kW) at 6,200 rpm and 148 lb·ft (200 Nm) at 4,400 rpm for the Altezza/IS 200. With the end of the first generation Lexus IS this engine ceased production in 2005.
Applications:

2.0 L 3S-GE I4 (RS200) There are five generations of the 3S-GE, which were used in the Toyota Celica, MR2, Caldina, RAV4, and Altezza. All 3S-GE engines had a displacement of 2.0 L (1,998 cc). Additionally, the turbocharged 3S-GTE engines are based on the 3S-GE platform.

3.0 L 2JZ-GE I6 (AS300/IS300)
The 2JZ-GE is a common version. Output is 215–230 PS (158–169 kW; 212–227 bhp) at 5800 to 6000 rpm and 209–220 lb·ft (283–298 N·m) of torque at 3800 to 4800 rpm.
It uses Sequential Electronic Fuel Injection, has an aluminum head and 4 valves per cylinder with some versions using VVT-i, along with a cast-iron cylinder block. The VVT-i version also featured DIS in favor of the traditional distributor set-up previously seen on the 2JZ-GE. Despite common misconception it was not a true COP (Coil-On-Plug, also known as Plug-top coil) ignition system instead relying on one coil to fire two cylinders, one of which was by spark plug wire.
Applications:

Mkuu ya Cylinder nne kwa Altezza ni Engine ya Honda, ina usumbufu wake. Pamoja na ukubwa wa Engine, inashauriwa ununue 6cylinder kama una mapenz na Altezza, ambapo ulaji wake ni sawa na Verossa. Hiyo ya 4cylinder kutoka moyoni nakushauri usinunue

Kila engine ina merits na demerits zake muhimu ni upatikanaji wa spareparts zote zinatengenezeka so muache anunue usim-discourage mwenzio hivo mkuu,tushafanya modii na complex repairs hakuna kinachoshindikana ktk gari hata ukitaka kuiendesha kwa miaka ya kutosha muhimu ni matunzo,service kwa wakati na checkups kila inapobidi
 
kiipwi cha ngoghwe sidhani kama zipo Altezza 4S na kama zipo ulaji wake waweza uwe hautofautiani sana na 6S
ANGALIZO:
Unaweza ukawa na gari 6S na ikatumia mafuta vizuri zaidi kuliko mwenye 4S! Hii ni kutokana na uendeshaji, kwa mfano unatoka shekilango kuelekea mjini unajua kabisa ukifika big brother lazima upunguze mwendo lakini mtu anaivuta mpaka spidi 80 halafu akifika big anapunguza mpaka spidi 30 then anavuta tena akifika tiptop anapunguza tena huo ni uharibifu was mafuta, kwa jinsi hiyo utakuwa unapoteza mafuta mengi bila sababu

Vilevile hata safari ndefu ongeza mafuta taratibu na jitahidi kucontrol spidi yani kama una hakika kipande fulani hakina kupunguza mwendo ongeza mwendo taratibu mpaka spidi uitakayo kisha nenda nayo hiyo mpaka utakapotaka kupunguza punguza taratibu pia

Ukiwa mtu wa kupanda na kushuka yani mara umevuta toka spidi 80 mpaka 120 mara ukashuka ghafla mpaka 70 kisha mara ukavuta tena mpaka 120, 30, 40 nk kisha ukashuka ghafla utaisoma

Mwisho uendeshaji wa mjini ni ghali mno kwa mafuta kwakuwa break ni kila dakika

"cha ngoghwe" hahahaa thanks buddy!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hizi Alteza zipo zinazotumia Engine ya 3s ya rav4 halafu pia zipo zinazotumia 1JZ nk so hizi s series huwa zina cylinder nne. Mie namshauri achukue yenye cylinder 4 atakua na tofautiya kilomita 2 kwa lita ambayo sio mbaya inaweza ikakutoa porini.

Thanks buddy!
 
Hivi naweza kupata pickup double cabin hivi vidogo kwa million 7 hivi?
 
Mkuu mshanajr hongera sana kwa uzi huu!!
Wakuu mi naomba msaada wa softcopy ya Owners' Manual Toyota Opa.
Ahsantani
 
naomba kujuzwa huu ya Suzuki escudo manual
uimara wake

Eskudo zile model za mkate nikimaanisha za zamani (1990-96) ni ngumu na zinavumilia shida, ishu kwenye gari ya manual ambayo inaweza kutokea ni kufa clutch au gearbox sababu ya upigaji tofauti tofauti wa gear mkuu.

Gari yoyote manual kila mtu ana swaga lake la upigaji gear thats y.
 
a
Asante sana gear box ikifa si ninaweza weka ingine au nikaibadilisha ikawa automatic?
 
nina gari KIA sportage model 1997,inasumbua fuel consumption mwenye uzoefu anisaidie
 
Mkuu Zanzibar Asp ..mimi ninavyosikia kutoka kwa wataalamu wa magari ..wanasema gari zuri kati ya hizo gari ndogo za juu ulizotaja ni Toyota Cami..ila ununue engine K3 ndio inakula mafuta kidogo sawa na passo.. mm binafsi natumia Toyota Cami ila bado sijaichunguza vizuri maana bado iko ktk hali zuri nilinunua kutoka yard miezi 6 iliyopita..binafsi nimefurahia hizi gari kutokana na kuhimili maeneo ninayoishi .maana barabara ni mbovu na wakati wa mvua inakuwa mbaya zaidi..ila baadaya kununua hii gari ninapita sehemu yoyote bila shida ..hata kwenye vilima mitelezo mm naswagatu kwa kwenda mbele..nakumbuka siku moja nilipitia njia ya vingunguti kutokea Tabata Barakuda..kama unalifahamu eneo lile kukiwa na mvua kunakuwa na matope pamoja na utelezi pia kuna kamlima flani hivi kanasumbua sana..nikakuta Rav 4 new model imekwama na inateleza ikijaribu kupanda kimlina..ila mimi na Cami yangu nilipapita kama mchezo wa kuigiza vile..kwa hiyo hivi vigari vina nguvu na ni imara kiasi flani...Ila Mkuu kama mfuko unarusu nunua new model ya hizi Cami ..yaani Toyota Rush..ni vigari vizuri mno ila bei yake kidogo ina range kwenye M 20 na ushee hivi...kwa Toyota Cami ktk Mayard hapo Dar bei yake ni kati ya M 10 na 12...au Hata mpaka M 15...

Mimi nina toyota CAMI niliagiza toka Japan mwaka 2011. Binafsi niliipenda kutokana na nafasi kubwa kutoka chini au uvungu. Ulaji wa mafuta pia ni mzuri. Nikiweka full tank lt 40 natoja Dar mpaka Same ndio taa inawaka. Ulaji wake wa mafuta highway unafika lt1/km 13 barabara za mjini lt 1/km 8 hadi 9 kutegemea na uendeshaji. Siri moja juu ya ulaji wa mafuta usiweke chini ya lt 15.
 
Back
Top Bottom