Sio kweli mzee passo haitumii timing belt bali inatumia timing chain..Timing belt inaku alert kikomo cha matumizi
Sawa asante kwa ufafanuziS
Sio kweli mzee passo haitumii timing belt bali inatumia timing chain..
Hapo cha msingi nikuipima na mashine ili kujua tatizo..sio kubashiri utasababisha usumbufu na garama zisizokuwa na lazima..
Kama upo dar karibu JO AUTO TECH tunapatikana mwenge tutakupimia gari yako kwa mashine TIS mashine original ya toyota kujua shida ni nn bureee kabisa garama yako ww kama utataka kutengenezewa na ss au itahitaji spea lkn tutakupimia bure kabisa..au kama upo dar na unataka kufuatwa ulipo basi utagaramikia nauli tuu lkn kupimiwa bure.
Lege nicheki inbox tubadilishane majukumu. Gari iko posta hapo inahitaji mmatibabu yako.S
Sio kweli mzee passo haitumii timing belt bali inatumia timing chain..
Hapo cha msingi nikuipima na mashine ili kujua tatizo..sio kubashiri utasababisha usumbufu na garama zisizokuwa na lazima..
Kama upo dar karibu JO AUTO TECH tunapatikana mwenge tutakupimia gari yako kwa mashine TIS mashine original ya toyota kujua shida ni nn bureee kabisa garama yako ww kama utataka kutengenezewa na ss au itahitaji spea lkn tutakupimia bure kabisa..au kama upo dar na unataka kufuatwa ulipo basi utagaramikia nauli tuu lkn kupimiwa bure.
0627136700Lege nicheki inbox tubadilishane majukumu. Gari iko posta hapo inahitaji mmatibabu yako.
Acha masihara wewe, hata ukirudisha kilometa ziwe 0000 bado ntajua gari ni mbovu tuuu[emoji725]Nani kakuongopea uimara na ubora wa gari unaangaliwa kwa kilomita zilizotembewa??..
Kama unamiliki gari njoo nalo nikurudishie hizo kilomita zako mpaka kufika 00
Unapatikana wapi mkuu. Nataka unirekebishie hizi kilomita nikaiuze kwa wenye pesa za korosho huko kusiniNani kakuongopea uimara na ubora wa gari unaangaliwa kwa kilomita zilizotembewa??..
Kama unamiliki gari njoo nalo nikurudishie hizo kilomita zako mpaka kufika 00
Mkuu, mimi sio fundi ila nimkorofi wa haya magari kupitia forums mbalimbali na youtube.Wakubwa Habari
Gari ya jamaa yangu ana gari RAV4 miss Tanzania, ambayo ni automatic transmission (sio manual), akipiga moto gari yake (hasa kwenye mlima) inastuck, inakuwa kama inagoma kupanda, hivyo anakuwa anakanyanga mafuta Kwa kuvizia vizia , akikanyaga mafuta sana (mlimani) gari inakuwa nzito, inagoma kwenda na hata kuzima, ikishazima akiwasha inaweza isiwake, mpaka ikae Kwa muda Ndio akiwasha inawaka na anaanza safari.
Aidha, gari likienda Mwendo mrefu, mfano 50km huanza kuonyesha taa za check engine, VSC na 4wd endapo ataendelea kuendesha gari litakosa nguvu/ litaanza kuonyesha kugoma kwenda - kama nilivyoeleza hapo juu, na wakati mwingine Ukiwa kwenye foleni ya muda mrefu gari huanza kuwasha taa zoote kwenye dashboard na hata kuzima, and kama halijazima ukikanyaga mafuta litaanza Mwendo Kwa shida Sana na kuchanganya taratibu
Au, iwapo litazima ikitaka kuwasha litashindwa kupiga starter, itabidi ukae kama nusu saa hivi na ukiwasha litawaka utaendelea na safari yako kwa umbali wa hata km 20 then Tatizo kusita kwenda speed linaanza tena.
Je Tatizo ni nini, ?
CC : LEGEWakubwa Habari

Kiongozi Asante Kwa msaada wako, nitamwambia jamaa yangu afutilie na kufanya hayo maelekezo ya YouTube, then nitarudisha feedback, Asante Kwa links nzuri, zimeongeza ufahamu mwingi kuhusu kuwaka Kwa taa kwenye dashboard na namna ya kuziondoa.Mkuu, mimi sio fundi ila nimkorofi wa haya magari kupitia forums mbalimbali na youtube.
Hebu jaribu kuhakikisha kuwa mfuniko wa mafuta umefungwa hadi ikalia/ikaclick mara moja.
Angalia hizi video 2:
Kama bado itasumbua hebu jaribu kucheck comments hii forum hapa unaweza kupata idea.
Toyota RAV4 Questions - The check engine, VSC, and 4WD lights keep coming on at the same time.... - CarGurus
Kila la kheri.
Kiongozi Asante Kwa msaada wako, nitamwambia jamaa yangu afutilie na kufanya hayo maelekezo ya YouTube, then nitarudisha feedback, Asante Kwa links nzuri, zimeongeza ufahamu mwingi kuhusu kuwaka Kwa taa kwenye dashboard na namna ya kuziondoa.
*Ila sina uhakika/ sifahamu iwapo Kuna uhusiano kati ya taa kuwaka Kwa taa na kuzima Kwa gari ama gari kugoma kuchanganya speed hasa kwenye mwinuko au Ukiwa kwenye foleni*
Aidha Asante Kwa kushare hio link ya RAV4 , inaonekana hizi RAV4 za miss Tanzania za kuanzia 2006 zina hili Tatizo la taa kuwaka na kukosa nguvu za kutembea/ kuzima, nadhani Hii ni fursa Kwa Mafundi wetu kubaini solution ya hili Tatizo ili waweze kusaidia wakati huo huo wakijiongezea kipato.
Chukua mashine hiyo.. Usiogope barabara bali zingatia sheria za kumiliki chombo cha gharama na utunzaji mzuriWakuu naombeni ushauri nataka kununua gari aina ya Probox Van ya mwaka 2008. Je hii gari ni nzuri kwa upande wa uimara na ulaji wa wese. Ina sura mbaya lakini kwangu siyo hoja. Vipi kwa urefu wake na ilivyo chini haisumbui kwenye barabara zetu za vumbi. Humbled.
Hebu pia acheki fuel pump huenda imeshafeli tayari.Kiongozi Asante Kwa msaada wako, nitamwambia jamaa yangu afutilie na kufanya hayo maelekezo ya YouTube, then nitarudisha feedback, Asante Kwa links nzuri, zimeongeza ufahamu mwingi kuhusu kuwaka Kwa taa kwenye dashboard na namna ya kuziondoa.
*Ila sina uhakika/ sifahamu iwapo Kuna uhusiano kati ya taa kuwaka Kwa taa na kuzima Kwa gari ama gari kugoma kuchanganya speed hasa kwenye mwinuko au Ukiwa kwenye foleni*
Aidha Asante Kwa kushare hio link ya RAV4 , inaonekana hizi RAV4 za miss Tanzania za kuanzia 2006 zina hili Tatizo la taa kuwaka na kukosa nguvu za kutembea/ kuzima, nadhani Hii ni fursa Kwa Mafundi wetu kubaini solution ya hili Tatizo ili waweze kusaidia wakati huo huo wakijiongezea kipato.
Fuel pump alishabadiriHebu pia acheki fuel pump huenda imeshafeli tayari.
Basi akafanye computer diagnostics ajue shida iko wapi hasaFuel pump alishabadiri
Mkuu hoja zangu ni uimara, issue za spare and the like.Chukua mashine hiyo.. Usiogope barabara bali zingatia sheria za kumiliki chombo cha gharama na utunzaji mzuri
Sawa mkuuBasi akafanye computer diagnostics ajue shida iko wapi hasa