Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wauzaji wengi sana dukani watakwambia ni og kumbe ni andiko tu lakini kilichomo ni made in China au ni zile za 10,000 ndo ulizoweka box limeandikwa genuine kumbe sio?
Na kwakweli kuna baadhi ya maeneo status yake tu inajitambulisha kuwa hapo huwezi kupata original

Jr[emoji769]
 
Umuhimu wa airbags... Ukiachana na uimara wa gari lakini airbag kwakweli nazo ni muhimu mno... Na sidhani ni wangapi Wanajua kuwa airbags zina lifespan na zinatakiwa kufanyiwa service baada ya muda fulani Hii ajali hakuna aliyepoteza uhai zaidi ya majeruhi

Jr[emoji769]
 
Mkuu samahani kwani kazi ya airbag kwenye gari ni nn?
 
Kupitia hii ajali ndio nlikubali kwamba BMW ni gari aisee very protective
Ingekua premio, legacy, crown na wengineo!
Watu wangeokotwa nyama aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi kabisa

Jr[emoji769]
Yaan airbags mpka kwny back seat hii kitu ni very rare kuikuta kwa mjapani
Kuna magari tunayapendelea kwa sababu ya urahis wa kuyahudumia na pia kuuzika kirahis endapo uthitaji kulibadili kuwa pesa lkn linapokuja janga survivorship ni ndogo sana
Kuna somo la kujifunza hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu tunaogopa bure bila kufanya utafiti.. Bei ya harrier tako la nyani unapata ndinga Kali sana ya mjerumani

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…