Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana
Nilisafisha nozzle, pia nikabadili plug imeongezeka ikawa km 10 kwa 1 lita bado aijafikia kiwango chakeJaribu kuzibadili
Jr[emoji769]
Wauzaji wengi sana dukani watakwambia ni og kumbe ni andiko tu lakini kilichomo ni made in China au ni zile za 10,000 ndo ulizoweka box limeandikwa genuine kumbe sio?haijawahi kupata ajali nafunga timing og ila hata safar ndefu naogopa kwenda nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwakweli kuna baadhi ya maeneo status yake tu inajitambulisha kuwa hapo huwezi kupata originalWauzaji wengi sana dukani watakwambia ni og kumbe ni andiko tu lakini kilichomo ni made in China au ni zile za 10,000 ndo ulizoweka box limeandikwa genuine kumbe sio?
Mkuu samahani kwani kazi ya airbag kwenye gari ni nn?Umuhimu wa airbags... Ukiachana na uimara wa gari lakini airbag kwakweli nazo ni muhimu mno... Na sidhani ni wangapi Wanajua kuwa airbags zina lifespan na zinatakiwa kufanyiwa service baada ya muda fulaniView attachment 1375180 Hii ajali hakuna aliyepoteza uhai zaidi ya majeruhi
Jr[emoji769]
Kupitia hii ajali ndio nlikubali kwamba BMW ni gari aisee very protectiveUmuhimu wa airbags... Ukiachana na uimara wa gari lakini airbag kwakweli nazo ni muhimu mno... Na sidhani ni wangapi Wanajua kuwa airbags zina lifespan na zinatakiwa kufanyiwa service baada ya muda fulaniView attachment 1375180 Hii ajali hakuna aliyepoteza uhai zaidi ya majeruhi
Jr[emoji769]
Kupitia hii ajali ndio nlikubali kwamba BMW ni gari aisee very protective
Ingekua premio, legacy, crown na wengineo!
Watu wangeokotwa nyama aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan airbags mpka kwny back seat hii kitu ni very rare kuikuta kwa mjapaniSahihi kabisa
Jr[emoji769]
Halafu tunaogopa bure bila kufanya utafiti.. Bei ya harrier tako la nyani unapata ndinga Kali sana ya mjerumaniYaan airbags mpka kwny back seat hii kitu ni very rare kuikuta kwa mjapani
Kuna magari tunayapendelea kwa sababu ya urahis wa kuyahudumia na pia kuuzika kirahis endapo uthitaji kulibadili kuwa pesa lkn linapokuja janga survivorship ni ndogo sana
Kuna somo la kujifunza hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofaut gan kati ya toyota landcruiser prado ya UK na landcruiser prado ya JAPAN na ipi nzur kwa matumizi ya kawaida huku kwetu View attachment 1378489View attachment 1378493
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua ya UK usalama umezingatiwa zaidi
Jr[emoji769]
Parts zinaingiliana hakuna shida kabisa
Jr[emoji769]
Naomba ushsuri kati ya subaru forester xt 2009 na nissani extrail hizi za mwaka 2008/9
Sent using Jamii Forums mobile app