Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Kwa milima na mizigo pata Honda 110

Jr[emoji769]
 
Hello wakuu...
Naomba kwa mwenye uzoefu na Carina Si anipe uzoefu wake juu ya aina ya coolant inayofaa...nimekuwa nikitumia maji kwa muda sasa...nataka niweke coolant...je zinaingia lita ngapi mpaka kujaa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello wakuu...
Naomba kwa mwenye uzoefu na Carina Si anipe uzoefu wake juu ya aina ya coolant inayofaa...nimekuwa nikitumia maji kwa muda sasa...nataka niweke coolant...je zinaingia lita ngapi mpaka kujaa???

Sent using Jamii Forums mobile app
Lita 5 maximum lakini kuwa makini nyingi feki

Jr[emoji769]
 
Sijawahi tumia brand ya Nissan zaid ya Nissan Patrol ya ofisini ambayo nakuwa abiria tu.

Swali langu wife anataka usafiri lakini kaja na prescription yake anataka Xtrail sijui kumuona nayo nani so naomba ABC zake

Ubora,
Fuel consumption safari ndefu na mizunguko ya mjini ipoje.
Haina magonjwa yanayoisumbua.
Je kwa mwanamke itamfaa.

Au
Je kama kuagiza niandae kiai gani au kama ikipatikana kwa mtu ambayo imetunzwa pia inakuaje ili nijiandae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ushauri wangu Nissan hapana hasa hizo extrail... Ukiikosea kitu kidogo tu umekwisha... Durability pia ya hizi gari sio ya kutegemea sana.

Jr[emoji769]
 
xtrial old model hata nikipewa bure sichukui jichange sana kama huna uwezo wa kununusa xtrial ya kuanzia 2017 achana nayo nadhan ni M70 na piont
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…