Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #641
Kama unatumia AC inawezekana inaelekea kuisha. Ngoja wataalamu wengine waje
Nafiriki kuna shida kwenye fuel system hasa kama mfuniko wa boya la fuel tank uko chini ya siti ya nyuma na kama ulishawahi kufunguliwa na wakati wa kurudishiwa haukufungwa vyema ukaruhusu upenyo japo kiduchu lazima gari linuke petrol na hii ni hatari pia
