shaman
Member
- Jun 22, 2012
- 94
- 182
Sina uzoefu sana wa magari ila gari hii nataka kununua mkononi kwa mtu ila engine imeshauriwa kuibadilisha maana iliyo ni si V6 kulingana na gari ilivyo so mafundi wameshauri kuweka nyingine sasa kuna hizo sijui option ya 1MZ-FE, 3MZ-FE na 2GR ..ambazo ni V6 sasa sijajua ipi inafaa..na kama una ushauri zaidi nitashukuru maana ndio tunajifunza hizi mamboPoa wewe machaguo yako ni yapi? Usichukue ya umeme mwingi.. Usichukue ya engine ndogo