Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wew jamaa nisaidie Gari yangu nikiwash system right zote zinawak kasoro taa ya check engine tatzo nn au n kawaida
Gar ni premio x -2005
Zinazima baada ya hapo? Kama zinazima hiyo ni kawaida! Zinazobaki zikiwaka hilo ni tatizo
 
Nikiwasha gari inawaka taaa zote na kupotea kasoro taa ya check engine sijawah kuion kbsa tangu nmenunua gari
Mfano kwenye hiyo picha hapo taaziwake lakn hiyo ya check engine haiwak kbsa
JamiiForums2114542648.jpg
 
Habari za mchana wakuu, hivi Ile symbol ya Engine coolant temperature inapowaka huku ikiwa na rangi ya blue inaashiria Nini..Nikiwasha gari inajitokeza halaf inachelewa kuzima
45936dc72531fe50910b923df215d6a4.jpg
 
Asante sana mkuu..Hivi Lege kapotelea wapi, namtafuta kwenye Ile namba simpati, au kama unamfaham fundi mwengine competent alieko dar es salaam, naomba niunganishe nae mkuu Mshana
 
Asante sana mkuu..Hivi Lege kapotelea wapi, namtafuta kwenye Ile namba simpati, au kama unamfaham fundi mwengine competent alieko dar es salaam, naomba niunganishe nae mkuu Mshana
Hapatikani kabisa aisee check na huyu +255782073765
 
Nikiwasha gari inawaka taaa zote na kupotea kasoro taa ya check engine sijawah kuion kbsa tangu nmenunua gari
Mfano kwenye hiyo picha hapo taaziwake lakn hiyo ya check engine haiwak kbsaView attachment 2455789
Ulinunua kwa mtu? Kuna watu huwa wanaficha hizo warning labda baada ya kushindikana kutengeneza,
Mi ni mhanga wa hili yangu ilikuwa abs nilimpa fundi atengeneze ikamshinda akaifunika kabisa ile taa ikawa hata ukiwasha gari zote zitawaka na kupetea lakini ya abs haiwaki kabisa nikamfata fundi nikamkoromea akafungu dash board akatoa toa magundi mpaka leo nimemkataa yule fundi nyoko sana.
 
On November 18th, FAW-Volkswagen held the industry's first metaverse game-style "dream tour" online virtual press conference with Metaverse technology as the carrier, announcing that its "hardcore big five-seater SUV" toured Tavendor Officially listed. #FAW
20230110_083127.jpg
 
Back
Top Bottom