Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Matunzo[emoji1752]
Pokea maua Yako Mshana..

Naomba ushauri nataka ninunue gari aina ya mistubishi chariot.
Nimeipenda Kwa sababu ya ukubwa wake hasa Siti Kwa ajili ya familia. Nanunua Kwa mtu. Ina injini ya rav 4

Sijui Changamoto ya hizi gari mistubishi chariot naomba msaada kujua spare zake, JE inahimili rough road n.k
 
Mshana jr
 
[emoji1545]gari zuri sana ila zingatia
Service
Genuine parts
Genuine lubricants
Sheria za uendeshaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana naomba ushauri gari yangu toyota ipsum new model inamaliza tairi yanyuma moja upande wa ndani nimefunga ball joint tatizo bado nifanyaje?
 
Waheshimiwa Nina swali:
Kwa uzoefu wako je Toyota Raum new model inatembea km ngapi Kwa Lita moja ya petrol?

(Toyota Raum cc1490)

Thanks in advance.

your's faithful,
Grand Canyon.
 
Habari wakuu gari yangu Toyota ipsum new model inatembea 8.5km per lita kwenye rough road je hii nisawa wakuu? Kama siyo tatizo inaweza kua nini?
 
Habari wakuu gari yangu Toyota ipsum new model inatembea 8.5km per lita kwenye rough road je hii nisawa wakuu? Kama siyo tatizo inaweza kua nini?
Ni ya mwaka gani?
 
Ipsum naona zinatofautiana kulingana na mwaka na aina na kwa utofauti huo hata ulaji wa mafuta unatofautiana, mfano kuna ipsum ya mwaka 2001-2007 kamq sinakosea 240u, 240s, 240i nk na hizi zote zinatofautiana kulingana na mwaka, sasa utofauti uliopo ni kwamba kuna za Front wheel drive, kuna AWD na kuna zenye 4WD full time na za option, sasa kwa sifa hizo haziwezi zikawq sawa kwenye ulaji wa mafuta lkn top kabisa ya ulaji ulaji mdogo wa mafuta kwa mujibu wa manufacturer ni kwamba Ipsum inakula 9-12l/km100, ila sasa inaweza kupungua kutokana na sababu zifuatazo, Uendeshaji wako, service mbovu, na uzito wa gari namaanisha umepakia uzito wa kiasi gani kwenye gari
 
Nashukuru kwa elimu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…