Busara za mzee
Member
- Jun 11, 2023
- 36
- 25
Pokea maua Yako Mshana..Matunzo[emoji1752]
Naomba ushauri nataka ninunue gari aina ya mistubishi chariot.
Nimeipenda Kwa sababu ya ukubwa wake hasa Siti Kwa ajili ya familia. Nanunua Kwa mtu. Ina injini ya rav 4
Sijui Changamoto ya hizi gari mistubishi chariot naomba msaada kujua spare zake, JE inahimili rough road n.k