Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Gari yangu TOYOTA IST cc 1490

kwanza nina tatizo la AC imekuwa ikinisumbua mara kwa mara , pili oil nzuri kwajili ya gari yangu ..... nimenda kwa mafundi wa ilala naona kama wa babaishaji ...
 
 
Gari yangu TOYOTA IST cc 1490

kwanza nina tatizo la AC imekuwa ikinisumbua mara kwa mara , pili oil nzuri kwajili ya gari yangu ..... nimenda kwa mafundi wa ilala naona kama wa babaishaji ...
Toa system ya evaporator weka mpya maana hiyo ndio inasumbua sana.. Kuhusu oli soma imeandikwa pale ukifunua bonnet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani engine ya toyota wish 1zz unaweza funga kwenye gari gani au inaingiliana na gari gani
 
Ulifanikiwa kusolve hili tatizo
 
Mshana,samahani naomba ABC YA SUZUKI JIMNY 2000/2002 OLD MODEL,CC 990-1290 ,,NAKAPENDA SAANA,,

PLS PRONS AND CONS ZAKE
Pale Mjep alicheza kana Pele ni vigari vigumu na imara sana sema havina mwendo lakini hiyo sio ishu sana
 
Anaefahamu Changamoto za hii gari aina ya Honda crossroads second generation cc 1800& cc 2000
 
Gari Ikiwa kwenye Mwendo mdogo nasikia kelele za brake kama vile ukiendesha Gari ikiwa kwenye Handbrake... Tatizo ni nin??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…