Nashukuru kwa ushauri nitaufanyiakazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa ushauri nitaufanyiakazi
Gari yangu TOYOTA IST cc 1490
kwanza nina tatizo la AC imekuwa ikinisumbua mara kwa mara , pili oil nzuri kwajili ya gari yangu ..... nimenda kwa mafundi wa ilala naona kama wa babaishaji ... pia ulaji wa mafuta pia cyo nzuri nilisha badili plug lakini naona hakuna mabadiliko
Toa system ya evaporator weka mpya maana hiyo ndio inasumbua sana.. Kuhusu oli soma imeandikwa pale ukifunua bonnetGari yangu TOYOTA IST cc 1490
kwanza nina tatizo la AC imekuwa ikinisumbua mara kwa mara , pili oil nzuri kwajili ya gari yangu ..... nimenda kwa mafundi wa ilala naona kama wa babaishaji ...
Premio, Allion, Rav 4, Avensis, Voltz, Caldina, Spacio, Vista, Will VS, Opa, n.k.Jamani engine ya toyota wish 1zz unaweza funga kwenye gari gani au inaingiliana na gari gani
Ulifanikiwa kusolve hili tatizoHii ni nzuri kwa msaada. Ndugu zangu natumia kagari kangu PASSO ila naona kameanza mchezo wa kustuka yaani mfano nimepaki nakawasha naingiza gia yoyote iwe R au D inaganda kwanza alafu inastuka ndio ianze kwenda, msaada wenu tatizo laweza kuwa ni nini?
Mshana naomba ABC ya Suzuki Escudo Nomads,,, naipenda saaaZipo garage zenye hiyo mitambo
Hata namba A Kaka hakuna shida?? Wananiuzia 4M@MshanaZiko njema kwenye kila idara, mapungufu ni machache chukua chuma hiyo
Mshana,samahani naomba ABC YA SUZUKI JIMNY 2000/2002 OLD MODEL,CC 990-1290 ,,NAKAPENDA SAANA,,Aliyekugonga ndio Bima yake inahusika kukutengenezea gari lako
Pale Mjep alicheza kana Pele ni vigari vigumu na imara sana sema havina mwendo lakini hiyo sio ishu sanaMshana,samahani naomba ABC YA SUZUKI JIMNY 2000/2002 OLD MODEL,CC 990-1290 ,,NAKAPENDA SAANA,,
PLS PRONS AND CONS ZAKE
Ni aina gani? Check pumpJaman habali !!
Samahani ninatatizo kwenye gali yangu inapoteza nguvu nikiwa napanda mliman. Naombaa msaada