Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Gari yangu TOYOTA IST cc 1490

kwanza nina tatizo la AC imekuwa ikinisumbua mara kwa mara , pili oil nzuri kwajili ya gari yangu ..... nimenda kwa mafundi wa ilala naona kama wa babaishaji ...
 
Gari yangu TOYOTA IST cc 1490

kwanza nina tatizo la AC imekuwa ikinisumbua mara kwa mara , pili oil nzuri kwajili ya gari yangu ..... nimenda kwa mafundi wa ilala naona kama wa babaishaji ... pia ulaji wa mafuta pia cyo nzuri nilisha badili plug lakini naona hakuna mabadiliko
 
Gari yangu TOYOTA IST cc 1490

kwanza nina tatizo la AC imekuwa ikinisumbua mara kwa mara , pili oil nzuri kwajili ya gari yangu ..... nimenda kwa mafundi wa ilala naona kama wa babaishaji ...
Toa system ya evaporator weka mpya maana hiyo ndio inasumbua sana.. Kuhusu oli soma imeandikwa pale ukifunua bonnet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni nzuri kwa msaada. Ndugu zangu natumia kagari kangu PASSO ila naona kameanza mchezo wa kustuka yaani mfano nimepaki nakawasha naingiza gia yoyote iwe R au D inaganda kwanza alafu inastuka ndio ianze kwenda, msaada wenu tatizo laweza kuwa ni nini?
Ulifanikiwa kusolve hili tatizo
 
Mshana,samahani naomba ABC YA SUZUKI JIMNY 2000/2002 OLD MODEL,CC 990-1290 ,,NAKAPENDA SAANA,,

PLS PRONS AND CONS ZAKE
Pale Mjep alicheza kana Pele ni vigari vigumu na imara sana sema havina mwendo lakini hiyo sio ishu sana
 
Anaefahamu Changamoto za hii gari aina ya Honda crossroads second generation cc 1800& cc 2000
 
Back
Top Bottom