Kama unatumia AC inawezekana inaelekea kuisha. Ngoja wataalamu wengine waje
Nafiriki kuna shida kwenye fuel system hasa kama mfuniko wa boya la fuel tank uko chini ya siti ya nyuma na kama ulishawahi kufunguliwa na wakati wa kurudishiwa haukufungwa vyema ukaruhusu upenyo japo kiduchu lazima gari linuke petrol na hii ni hatari pia
Nafiriki kuna shida kwenye fuel system hasa kama mfuniko wa boya la fuel tank uko chini ya siti ya nyuma na kama ulishawahi kufunguliwa na wakati wa kurudishiwa haukufungwa vyema ukaruhusu upenyo japo kiduchu lazima gari linuke petrol na hii ni hatari pia
Mkuu Paso toleo la kwanza ndo ipoje hiyo?
Mkuu mfano MTU akikuwekea rav4 old model na Escudo old model uta prefer IPI? na kwanini?
Habari ndugu zangu...
Nawpongeza sana wana jf kwani huwa najifunza mengi kwenye hili jamvi. leo ningependa ushauri kuhusu gari ile niweze kufanya maamuzi sahihi. ninahitaji toyota saloon na kwa mapenzi yangu mimi ningepenga gari ambayo inastahimili barabara ya vumbi na ulaji wa mafuta mzuri , pia iwe ya bei nafuu ya kuagiza kutoka nje. binafsi ningependa CORONA PREMIO 2000, COROLLA 2000.
Naomba ushauri
1.nichukue ipi? au nichukue tofauti na aina hizo za gari?
2.pia ningependa kujua ni aina gani ya ingini ni bora kwa mazingira niliyotaja??.........
3.pia kwa wazoefu wa kuagiza magari kuagiza aina hizi za gari za mwaka 2000 inaweza kugharimu sh. ngapi mpaka gari inaingia barabarani???
Asante sana..
Wanajamii nina tatizo la hzi injini D4 na VVTI nataka kununua rav4 hz kili time lakini nyingi zina injini ya D4 sasa hv na wenzetu wanasema ni very powerful na ni za kisasa ila mafundi wa kibongo wanadai bora vvti na d4 sio kabisa. sasa tatizo ni injini au hatuna wataalamu hapa bongo
Nilishawahi uliza swali linalofanana na hilo humu wengi wakasema rav4 but all I know ktk hizo mbili escudo ina preferences zake ambazo ni better of kuizidi rav4,binafsi naikubali escudo kwa sababu ina himili off road cruising kuzidi rav4 hususani option yake ya driver operated 4wd lever,so kwangu escudo ni bye kwa sababu naweza kwenda nayo popote bila hofu ya weather au road constraints,escudo the best to me
Mkuu ebu niongezee somo apo kwenye rs200 kwenye altezza
Jamani,kwanza Napongeza kwa ukurasa huu mzuri.
Ningependa kujua,je ni wapi na namna gani naweza kulefusha gari langu matairi kama hii gari hapa?nataka iwe ndefu zaidi kama hii,je ni fundi mtaalamu gani kwa hapa tanzania anaweza kufanya hili.?View attachment 237132
Gereji nyingi za Tabata na Ilala wanafanya hizi mambo
Ila si nzuri sana kwakuwa gari hupoteza udhibiti wa barabara hasa ukienda zaidi ya spidi 80
hivi wadau mbona katika hizi ndogo naona paso watu wengi binafsi wanaziuza sana,hata ukitembelea may be zoom tz,utaziona nyingi tuu,
vipi mbona wanazichoka mapema,au zina tatizo nini?