Natak kutafta gari yeny uwezo wa kutembea vzr ktk rough road amby iko economical ktk mafuta... Nlipendkeza Harrier lkn ktk mafuta co nzur... Wataalam nsaidien
Jerrymsigwa IST zimetokea kuwa budget cars kwa wengi wasio na uwezo wa kumudu magari makubwa. Kwa trip za mjni ziko poa tu na engine zake kuna 1300cc na 1500cc so ulaji wa mafuta ni mzuri. Zimetokea pia kupendwa sana na akina dada.
Cc RRONDO MANI OLESAIDIMU Preta mshana jr

Hata kwa safari za mikoani ziko vizuri sana
Kwa uzoefu wangu ni kati ya km 12-15 kwa litre/liter kulingana na uendeshaji
Hapana mimi sio fundi, runx si ndio kizazi cha ist, Allex, duet nk? Ni gari ambazo hazitaki shida wala mikikimikiki, kwa ushauri nunua gari yeyote kizazi cha corolla100, 110 au hata GX 100 kavu! GX vvti itakutesa
Mr Adam Gella sina hakika kama umeshajibiwaWadau habari za Wakati huu Leo ningependa kufahamu kwa undani Kuhusu hizi gari zinaitwa HARRIER
Je ni gari imara..??, hata pasipo na Lami?
Aina ngapi zipo??(models?
Vipi Ulaji wake wa Mafuta???
Bei yake je??
harrier New model
Vipi Manunuzi ???? njia ipi ni bora ambayo hutumiwa na wengi??
A) Je ni vema mtu kuagiza Toka nchi za nje??(itagharimu Tsh ngapi mpka kuitoa bandarini)
Au
B)Ni vema pia kununua tu kwenye show room zetu za Magari hapa Bongo??
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU,,,MUNGU AWABARIKI!
Shida yake ni moja tuu! Mafundi wetu hawana ujuzi nazo ni full umeme hivyo wengi huwazingua