Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Natak kutafta gari yeny uwezo wa kutembea vzr ktk rough road amby iko economical ktk mafuta... Nlipendkeza Harrier lkn ktk mafuta co nzur... Wataalam nsaidien

Mkuu inategemea na harrier ya ukubwa upi kuanzia 2.2, 2.4, na 3.0....usiseme tu haiko economical.maana kama uliambiwa ya cc 3000 ndo balaa
 
Last edited by a moderator:
Jerrymsigwa IST zimetokea kuwa budget cars kwa wengi wasio na uwezo wa kumudu magari makubwa. Kwa trip za mjni ziko poa tu na engine zake kuna 1300cc na 1500cc so ulaji wa mafuta ni mzuri. Zimetokea pia kupendwa sana na akina dada.

Cc RRONDO MANI OLESAIDIMU Preta mshana jr

Huwa nasikia raha sana nikiona binti mrembo anaendesha IST au PASSO!! Ngoja escrow ingine ije nimnunulie baby ki PASSO au IST
 
Ist ipi mkuu maana za mwaka 2008 bei yake haina tofauti na murano
 
Kaka mkuu gar ya biashara kwa watu wa kipato cha chn ni ipi na isiyokua na garama kwenye spea
 
Habari wakuu,

Naomba kujuzwa je Nissan X-trail (NT31) model kuanzia 2008 za 2000cc zina shida gani? Nahitaji kwa matumizi ya kawaida.
 
Kaka mkuu gar ya biashara kwa watu wa kipato cha chn ni ipi na isiyokua na garama kwenye spea

Taxi corolla limited na Carina Ti, gari za mizigo Suzuki Carry! Nimebase kwenye bei zisizozidi million 8
 
Nimekupata mkuu vp kwa haisi na noah ipi haitanipa njaa na mawazo kama haisi nzuri aina gan?
 
Hapana mimi sio fundi, runx si ndio kizazi cha ist, Allex, duet nk? Ni gari ambazo hazitaki shida wala mikikimikiki, kwa ushauri nunua gari yeyote kizazi cha corolla100, 110 au hata GX 100 kavu! GX vvti itakutesa

Samahani mkuu mshana jr, shida GX vvti ni nini hasa?
 
Last edited by a moderator:
Je una gari inakusumbua? Imepark muda mrefu unahitaji kuifufua? Ushauri juu ya gari ununue kulingana na mazingira yako na kipato? Check me on WhatsApp 0712999090 we arrange hutojuta kukutana nasi tupo kinondoni muslim
 
Wadau habari za Wakati huu Leo ningependa kufahamu kwa undani Kuhusu hizi gari zinaitwa HARRIER
Je ni gari imara..??, hata pasipo na Lami?
Aina ngapi zipo??(models?
Vipi Ulaji wake wa Mafuta???
Bei yake je??

harrier New model
Vipi Manunuzi ???? njia ipi ni bora ambayo hutumiwa na wengi??
A) Je ni vema mtu kuagiza Toka nchi za nje??(itagharimu Tsh ngapi mpka kuitoa bandarini)
Au
B)Ni vema pia kununua tu kwenye show room zetu za Magari hapa Bongo??

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU,,,MUNGU AWABARIKI!
Mr Adam Gella sina hakika kama umeshajibiwa

Harrier ni SUV so ni imara ya kutosha japo sio kama landcruiser hizi hard top and the like. Ni gari very comfortable pia. Zinapita tu barabara za vumbi..muhimu ni matunzo kwa maana ya service na matengenezo madogo madogo pale inapobidi.

Model zipo aina tatu kubwa:
1 model kuanzia 1998-2000 hivi hizi ndo za kwanza zikiwa na 2163cc engine na zingine 3000cc V6 engine.

2. Model ya 2001-2003 hapo..hizi zina standard 2400 Cc au 3000 cc kuna 4wd na ambazo sio pia.

3.kuna model.kuanzia 2003 kuendelea hizi zipo 2400cc Na 3000cc pia. Na kuna 4wd na ambazo sio. Pia kuna variations katika.model mpya nyingine ni hybrid.


Toleo la.zamani up to 20 M lakini hizi za kuanzia 2004 hdi 2007 apo kuanzia 35M na kuendelea hadi uitie nkononi. Show room zinafika hadi 40M.

Kuhsuu kuagiza nje...ni ww tu japo.mm naoenda kuiona gari pgysically na pia kukwepa usumbufu wa kuagiza nje..ma agent..tra...muuzaji mwenyewe nk
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom