Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #721
Mr Adam Gella sina hakika kama umeshajibiwa
Harrier ni SUV so ni imara ya kutosha japo sio kama landcruiser hizi hard top and the like. Ni gari very comfortable pia. Zinapita tu barabara za vumbi..muhimu ni matunzo kwa maana ya service na matengenezo madogo madogo pale inapobidi.
Model zipo aina tatu kubwa:
1 model kuanzia 1998-2000 hivi hizi ndo za kwanza zikiwa na 2263cc engine na zingine 3000cc V6 engine.
2. Model ya 2001-2003 hapo..hizi zina standard 2400 Cc au 3000 cc kuna 4wd na ambazo sio pia.
3.kuna model.kuanzia 2003 kuendelea hizi zipo 2400cc Na 3000cc pia. Na kuna 4wd na ambazo sio. Pia kuna variations katika.model mpya nyingine ni hybrid.
Toleo la.zamani up to 20 M lakini hizi za kuanzia 2004 hdi 2007 apo kuanzia 35M na kuendelea hadi uitie nkononi. Show room zinafika hadi 40M.
Kuhsuu kuagiza nje...ni ww tu japo.mm naoenda kuiona gari pgysically na pia kukwepa usumbufu wa kuagiza nje..ma agent..tra...muuzaji mwenyewe nk
Appreciated Kaizer...!
Last edited by a moderator: