Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mr Adam Gella sina hakika kama umeshajibiwa

Harrier ni SUV so ni imara ya kutosha japo sio kama landcruiser hizi hard top and the like. Ni gari very comfortable pia. Zinapita tu barabara za vumbi..muhimu ni matunzo kwa maana ya service na matengenezo madogo madogo pale inapobidi.

Model zipo aina tatu kubwa:
1 model kuanzia 1998-2000 hivi hizi ndo za kwanza zikiwa na 2263cc engine na zingine 3000cc V6 engine.

2. Model ya 2001-2003 hapo..hizi zina standard 2400 Cc au 3000 cc kuna 4wd na ambazo sio pia.

3.kuna model.kuanzia 2003 kuendelea hizi zipo 2400cc Na 3000cc pia. Na kuna 4wd na ambazo sio. Pia kuna variations katika.model mpya nyingine ni hybrid.

Toleo la.zamani up to 20 M lakini hizi za kuanzia 2004 hdi 2007 apo kuanzia 35M na kuendelea hadi uitie nkononi. Show room zinafika hadi 40M.

Kuhsuu kuagiza nje...ni ww tu japo.mm naoenda kuiona gari pgysically na pia kukwepa usumbufu wa kuagiza nje..ma agent..tra...muuzaji mwenyewe nk

Appreciated Kaizer...!
 
Last edited by a moderator:
Mtaalam Mshana naomba ushauri wa Voltz maana sijajibiwa bado

Engine hazina matatizo but body ya volts bwana mkubwa Usiombe upigwe pasi ni majanga bodi lake laini halafu hard kurepair likakaa kama awali worse zaidi uchakaaji wake kwa nje ni mbaya ni kama oppa zinavochakaa lakini otherwise ni SUV nzuri tu kama huna tatizo na bodi just jitwike tu
 
Wadau kuna mdau kauliza Toyota Voltz hata mimi napenda kuzijua. Je ni imara hizi gari? Vp ulaji wake wa mafuta?

Nimemjibu kwenye quote mkuu just check consumption yake ya wese ni normal kama nyingine za 2.0
 
Mr Adam Gella sina hakika kama umeshajibiwa

Harrier ni SUV so ni imara ya kutosha japo sio kama landcruiser hizi hard top and the like. Ni gari very comfortable pia. Zinapita tu barabara za vumbi..muhimu ni matunzo kwa maana ya service na matengenezo madogo madogo pale inapobidi.

Model zipo aina tatu kubwa:
1 model kuanzia 1998-2000 hivi hizi ndo za kwanza zikiwa na 2263cc engine na zingine 3000cc V6 engine.

2. Model ya 2001-2003 hapo..hizi zina standard 2400 Cc au 3000 cc kuna 4wd na ambazo sio pia.

3.kuna model.kuanzia 2003 kuendelea hizi zipo 2400cc Na 3000cc pia. Na kuna 4wd na ambazo sio. Pia kuna variations katika.model mpya nyingine ni hybrid.

Toleo la.zamani up to 20 M lakini hizi za kuanzia 2004 hdi 2007 apo kuanzia 35M na kuendelea hadi uitie nkononi. Show room zinafika hadi 40M.

Kuhsuu kuagiza nje...ni ww tu japo.mm naoenda kuiona gari pgysically na pia kukwepa usumbufu wa kuagiza nje..ma agent..tra...muuzaji mwenyewe nk

Mkuu hapo kwenye bei Za harrier kidogo umeteleza. Hizo bei za 20M na 35M ni za Show room

Ya mwaka 1998 - 2002 ukiagiza unapata kati ya 14M Mpaka 20M, Mwaka 2003 kuja juu zinaanzia 25M kwenda juu kama ni 2nd generation, caz kuna za mwaka 2003 ambazo ni model ya zamani ambazo bei zake zipo kati ya 17M mpaka 25M

Pia za mwaka 1998 na 1999 zipo zenye engine ya ukubwa wa 2160. Ila kuanzia mwaka 2000 kuja juu engine zake ni Kuanzia CC 2360.

Naomba kuelimishwa kuhusu engine ya 5s na VVTi, Nataka kuagiza ya mwaka 1998 ina engene ya 5s kama kuna ambaye anajua ubovu wa engine hizo kwa upande wa harrier naomba taarifa tafadhali
 
Tuko pamoja mkuu nadhani tunaongelea mule mule

Engine ya 5S iko poa tu...hiyo ina mna ni 2.2 hizo za vvti ni 2.4. Kwa uzoefu 5S haina tatizo kabisa
 
Mr Adam Gella sina hakika kama umeshajibiwa

Harrier ni SUV so ni imara ya kutosha japo sio kama landcruiser hizi hard top and the like. Ni gari very comfortable pia. Zinapita tu barabara za vumbi..muhimu ni matunzo kwa maana ya service na matengenezo madogo madogo pale inapobidi.

Model zipo aina tatu kubwa:
1 model kuanzia 1998-2000 hivi hizi ndo za kwanza zikiwa na 2163cc engine na zingine 3000cc V6 engine.

2. Model ya 2001-2003 hapo..hizi zina standard 2400 Cc au 3000 cc kuna 4wd na ambazo sio pia.

3.kuna model.kuanzia 2003 kuendelea hizi zipo 2400cc Na 3000cc pia. Na kuna 4wd na ambazo sio. Pia kuna variations katika.model mpya nyingine ni hybrid.

Toleo la.zamani up to 20 M lakini hizi za kuanzia 2004 hdi 2007 apo kuanzia 35M na kuendelea hadi uitie nkononi. Show room zinafika hadi 40M.

Kuhsuu kuagiza nje...ni ww tu japo.mm naoenda kuiona gari pgysically na pia kukwepa usumbufu wa kuagiza nje..ma agent..tra...muuzaji mwenyewe nk

Aisee Nashukuru sana mkuu kwa,Ufafanuzi wako!!
Ubarikiwe......!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapo kwenye bei Za harrier kidogo umeteleza. Hizo bei za 20M na 35M ni za Show room

Ya mwaka 1998 - 2002 ukiagiza unapata kati ya 14M Mpaka 20M, Mwaka 2003 kuja juu zinaanzia 25M kwenda juu kama ni 2nd generation, caz kuna za mwaka 2003 ambazo ni model ya zamani ambazo bei zake zipo kati ya 17M mpaka 25M

Pia za mwaka 1998 na 1999 zipo zenye engine ya ukubwa wa 2160. Ila kuanzia mwaka 2000 kuja juu engine zake ni Kuanzia CC 2360.

Naomba kuelimishwa kuhusu engine ya 5s na VVTi, Nataka kuagiza ya mwaka 1998 ina engene ya 5s kama kuna ambaye anajua ubovu wa engine hizo kwa upande wa harrier naomba taarifa tafadhali

Asante mkuu umesomeka vilivyo!!
 
TOYOTA RAUM new model, nataka kuinyanyua, iwe juu kiasi kutokana na barabara zetu hizi!

Naomba unishauri, njia ipi sahihi, nifunge tyres size kubwa, ama niwapelekee mafundi wainyanyue kwa utaalamu wao.

Na je, nini athari za uamuzi huu, wa kuinyanyua gari juu?

cc: mshana jr
 
Kuinyanyua gari ni kufanya modification HAIFAI, pia usifunge tairi kubwa na kama ukifanya hivyo hakikisha ni kati ya viwango vilivyowekwa
Madhara yake haya hapa
- gari kupoteza mvuto inakuwa kama chura wa kiduku
-gari kukosa balance hasa ukitembea speed 80+
-Fuel consumption kuongezeka ukifunga tairi oversize nk
 
Last edited by a moderator:
Hongereni kwa kutoa elimu, Ila napenda kujua hiz gari zinaitwa Brevis, Je uimara wake upoje..? Ulaji wake wa mafuta upo vip...? Na pia ingekuwa vzur kama ningefahamishwa models za hiz Brevis.
Mwisho napenda kujua kuhusu kuagiza kutoka nje au show room hapo mjin gharama zake zipo vip...?
 
Nashukur sana kaka kwa ushauri pia ni kampuni gani nzuri kuagizia

Noah agiza town ace, sr40 model petrol 3s engine,year 2000, nyuma imeandika super extra LIMO.

Katika Noah hii ndio gari ya kazi, very powerful, mafuta 10km/L

Nimezitumia kwa miaka 4 kama daladala mkoani
 
Jerrymsigwa IST zimetokea kuwa budget cars kwa wengi wasio na uwezo wa kumudu magari makubwa. Kwa trip za mjni ziko poa tu na engine zake kuna 1300cc na 1500cc so ulaji wa mafuta ni mzuri. Zimetokea pia kupendwa sana na akina dada.

Cc RRONDO MANI OLESAIDIMU Preta mshana jr

Asante sana Kaizer, basi mimi nampango wa kununua SUZUKI KEI zenye cc650 hope ni better than hiyo ist.

Alafu kwani magari nayo yana gender?
 
Hongereni kwa kutoa elimu, Ila napenda kujua hiz gari zinaitwa Brevis, Je uimara wake upoje..? Ulaji wake wa mafuta upo vip...? Na pia ingekuwa vzur kama ningefahamishwa models za hiz Brevis.
Mwisho napenda kujua kuhusu kuagiza kutoka nje au show room hapo mjin gharama zake zipo vip...?

Hapa ngoja N'yadikwa na Kaizer waje
 
Last edited by a moderator:
Duh basi zipo vizuri kiuchumi vipi comfortability yake?

Mkuu Lusungo hahaha nikikukuta na IST hata sikusalimu. Laizer hapo juu kasema ni vya wasichana angalia sana ubahili wako, alafu hiyo gari haiwez panda ille milima ya mpunguso, na ndizi utapakia wapi sasa?

JUst joking
 
Hongereni kwa kutoa elimu, Ila napenda kujua hiz gari zinaitwa Brevis, Je uimara wake upoje..? Ulaji wake wa mafuta upo vip...? Na pia ingekuwa vzur kama ningefahamishwa models za hiz Brevis.
Mwisho napenda kujua kuhusu kuagiza kutoka nje au show room hapo mjin gharama zake zipo vip...?

#Je uimara wake upoje..?=Ni imara sana commendable sedan.
# Ulaji wake wa mafuta upo vip...? = Mafuta zinakula mkuu coz sipo 2.5 na 3.0 so mafuta kwa Mimi nadhani brevis ni ya mtu ambae hela yake ya kiwese sio ya mawazo mkuu
#models za hiz Brevis. Sijawa na uhakika sana ziko version ipi but ni miongoni mwa sedans za kizazi kipya I.e zilizoanza kuundwa ktk new millennium ndugu yake wa brevis huwa ni mi huwa nayaita mafarasi tyt progress engines zao ni kubwa
# Mwisho napenda kujua kuhusu kuagiza kutoka nje au show room hapo mjin gharama zake zipo vip= Agiza nje hizi sedans zenye high CC bei zake sio Kali saana hapa utapigwa andaa kuanzia USD 3,500 utapata nzuri pale BF SBT,autorec au realmotor. Hayo tu mkuu
 
Back
Top Bottom