Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #761
Mshana. Jr na wadau wengine
Gari yangu imegongwa na Daladala wote tuna third part insurance nini cha kufanya maana huu ni mwezi wa pili jalada la kesi liko kwa police mpelelezi. Na police huwa wanapeleleza nini ikiwa tukio limesha ripotiwa police? Mambo je kuna muda maalum wa police kukaa na shauri la aina hii?
Kesi za traffic huwa hazichukui muda kwa uzoefu wangu kama daladala ndio mwenye makosa keshafanya yake na mpelelezi hasa kama bima yake si halisi
Cha kufanya usipoteze muda zaidi katengeneze gari yako kwakuwa hata ukishinda wewe utapata usumbufu mkubwa kwenye malipo kwakuwa hiyo sio bima yako