Yekevalia
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 313
- 178
Haya mambo kwakweli wakati mwingine ni utunzaji tuu! Na kama ulivyosema mtumiaji mkuu ni wife, kwakweli wanawake wengi ni watunzaji wazuri wa magari japo kuna mambo huwa si wajuzi
Lakini kwa ufupi Spacio sio gari zinazohimili mikikimikiki ni generation ya handle with care! Kwa mfano kwa sasa old model zipo chache sana barabarani
Ni kweli mkuu hazihimili mikiki, huwa naiangalia hususani kwenye rough road sio nzuri kivile, na pia haitaki kubebeshwa mzigo mkubwa, watu wanne zaidi haitaki. Lakini nilichoipendea ni kwenye consumption inakula kidogo saana hasahasa kwenye long safari, pia siti zake ndani zipo comfortable hauchoki kwa safari ndefu, kikubwa zaidi bei yake ya ununuzi ni attainable.