Yekevalia
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 313
- 178
Fanya service ya uhakika chapa mwendo wa wastani utakapoona unechoka pumzika!
hivi hizi vitz cc zake ni ngapi? niliwahi kusikia jinsi cc inavyokuwa ndogo ndipo na gari inachoka mapema especially kwa safari ndefu bila kupumzika, hii ni kweli?!
