Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Fanya service ya uhakika chapa mwendo wa wastani utakapoona unechoka pumzika!

hivi hizi vitz cc zake ni ngapi? niliwahi kusikia jinsi cc inavyokuwa ndogo ndipo na gari inachoka mapema especially kwa safari ndefu bila kupumzika, hii ni kweli?!
 
Nahitaji Plug za TOYOTA PROGRESS
Niko mwanza mwenye nazo anicheck Whats app no 0784891515
Muhim sana Ndugu zangu
 
hivi hizi vitz cc zake ni ngapi? niliwahi kusikia jinsi cc inavyokuwa ndogo ndipo na gari inachoka mapema especially kwa safari ndefu bila kupumzika, hii ni kweli?!

Ziko cc 990 na 1300 mkuu. GARI ni matunzo tu zinamudu kufika.
 
hivi hizi vitz cc zake ni ngapi? niliwahi kusikia jinsi cc inavyokuwa ndogo ndipo na gari inachoka mapema especially kwa safari ndefu bila kupumzika, hii ni kweli?!

Kwakweli gari ndogo kama hiyo huwezi kuichapisha mwendo mrefu bila kuipumzisha sio Afya kwa engine
 
Naomba msaada taa ya engine inawaka nimeshauriwa nikafanye diagnosis nimekwenda wanasema hawaoni tatizo wakaizima nimetoka hapo garage sijafika mbali ikawaka nikarudi wakazima kuondoka ikawaka nikaachana nao, naomba sasa mnipe maelekezo nipeleke wapi kuna wataalamu watanisaidia vizuri
 
Mungu wangu WAKAIZIMA mara tatu? shukuru Mungu hawakuizima kabisa! Kama gari imefanyiwa diagnosis na hakuna shida hiyo ni warning indicator ya Timing belt inakaribia au kuhitaji kubadilishwa
 
ku drive manual transmission naweza ku down shift kutoka 4 hadi moja?
then what happens kama una shift gear bila ku press cratch?
 
Mkuu hapo utaleta balaa....kurudi mbili apo afadhali. Maana kwen 4 inakuwa mwendo mkali kurudi gia kubwa gafla unaeza kuinikisha injini au uunguzw cylinder head. Kushift bila clutch haitakubali maana itasaga meno utaharibu clutch plate fasta tu
 
Naomba msaada taa ya engine inawaka nimeshauriwa nikafanye diagnosis nimekwenda wanasema hawaoni tatizo wakaizima nimetoka hapo garage sijafika mbali ikawaka nikarudi wakazima kuondoka ikawaka nikaachana nao, naomba sasa mnipe maelekezo nipeleke wapi kuna wataalamu watanisaidia vizuri

Ipeleke gerage
 
ABS (automatic breaking system), hii maana yake ni kwamba unapofunga break inabidi tyre zote zifunge break proportional kuepuka gari kupinduka, ukiona imewaka basi kuna matatizo. ni vizuri umpelekee fundi kwa uchunguzi zaidi.

Mkuu hapana si kweli ABS ni Antlocking bracking system inasaidia tairi isi-skid (ni mfumo wa brake za tair za ndege) ili hata ukifunga brake kwa ghafla tairi isiende pasipo mzunguko.
 
Naomba msaada taa ya engine inawaka nimeshauriwa nikafanye diagnosis nimekwenda wanasema hawaoni tatizo wakaizima nimetoka hapo garage sijafika mbali ikawaka nikarudi wakazima kuondoka ikawaka nikaachana nao, naomba sasa mnipe maelekezo nipeleke wapi kuna wataalamu watanisaidia vizuri

Hiyo taa achana nayo, kama gari inaenda we drive tu usipate hofu. Ila ikigeuka rangi na kua red hapo ni shida na usijaribu kupuuzia ImageUploadedByJamiiForums1427658361.151880.jpg
 
VW polo za Kisouth ndio nina uzoefu nazo ni nzuri ni ngumu na zinahimili misukosuko mingi japo hapa Tanzania si gari maarufu
Tanzanite klm

Inakulaje mafuta wakati cc ni 1400
mshana jr

Spear parts zinapatikana gerezani na Ilala?

Ukilinganisha VW Polo na Raum new model ipi una recommend?
 
Last edited by a moderator:
Naomba kujua mapungufu ya pajero gti kuna mtu nafanya nae biashara siku 2 zijazo ni vyema nikajulishwa mapungufu ya hizo gari...cc mshana jr
 
sina namna nitanunua ila nisipopata dharura na yenyewe itaoza tena bila kutumika!!!!!!

ina maana wewe hicho chombo chako hakitembei au?manake kama hujaigusa spare tairi kwa miaka minne basi hizo tairi zako ni noma ntajie kampuni nikazitafute
 
Inatembea sana hapa mjini...mwaka huu ndo nafikiri kubadiri tyre...natumia bridgestone...niliagiza mpya toka japan....
 
Mkuu hapana si kweli ABS ni Antlocking bracking system inasaidia tairi isi-skid (ni mfumo wa brake za tair za ndege) ili hata ukifunga brake kwa ghafla tairi isiende pasipo mzunguko.
JERRYmsigwa nafikiri bado lengo ni lilelile kuelimishana, kupeana maarifa, uzoefu, elimu na ujuzi binafsi kuna vingi nimejifunza kupitia hili jukwaa
 
Last edited by a moderator:
JERRYmsigwa nafikiri bado lengo ni lilelile kuelimishana, kupeana maarifa, uzoefu, elimu na ujuzi binafsi kuna vingi nimejifunza kupitia hili jukwaa

Sawa mkuu lakini ni MAKOSA kujibu kitu usichokifahamu vizuri. Narudia ni makosa kujibu kitu tena kwa confidence, no no noo ni vyema kutoa taarifa sahihi au kusema sijui kuliko ku-mislead kwani kuna wengi wanapita na kufanya hizi fora kama reference zao, thanks
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom