Asante mkuu, hii itakuwa kigezo cha kuagizia gari.
By the way ni mfano wa gari ipi used yaweza kwenda hadi 30km/litre? Aisee hii ndo ya kununua
Zipo corolla hybrid hapa Tanzania nimeshawahi kuziona 2,3! Ila zina shida moja control sensor ya motor engine na battery ikifa gharama yake si chini ya usd1500
Wapendwa nahitaji msaada katika hili,hivi kwa mfano ukanunua gari used nchi jirani kama kenya au uganda,je utahitaji kubadiri namba na kulipa ushuru tena unapoitumia tanzania?na inakuaje hasa utaratibu?Ahsante
Habari mkuu mainford gasket iko vizuri imelowana ndani ya mainford baada ya kufungua ile horse ya air cleaner . MSAADA TAFADHALI
mshanajr naomba kufahamu kama wewe ni fundi wa magari na una garage?
Usibishane barabarani,hilo tu.
Nafikiri ina choice kwamba unaweza kuweka 4WD au 2WD