Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Ndugu Mshana pole na majukumu,kuna mtu anataka kuniuzia toyota corona,kwa uzoefu wako naomba unijuze kama ni gari nzur yenye ulaji mzur wa mafuta na vp kuhusu upatikanaji wa vipuri
 
Ndugu Mshana pole na majukumu,kuna mtu anataka kuniuzia toyota corona,kwa uzoefu wako naomba unijuze kama ni gari nzur yenye ulaji mzur wa mafuta na vp kuhusu upatikanaji wa vipuri

Corona sijui kwanini zilikosa mvuto hapa nchini japo naziona sana vijijini zikipiga mzigo, je ni new model?
Hizi za zamani vipuri vyake vipo vingi tu tena bei imetulia, kama iko katika hali nzuri na bei haiumizi mapafu chukua
 
Ndugu Mshana pole na majukumu,kuna mtu anataka kuniuzia toyota corona,kwa uzoefu wako naomba unijuze kama ni gari nzur yenye ulaji mzur wa mafuta na vp kuhusu upatikanaji wa vipuri

Mukwano maana yake rafiki au upendo na jebaleko ni salamu ambayo ni sawa na habari za mchana

Asubuhi wanasema wasizotya na jioni wanasema ulyotya
 
muundo kama wa karina ti,no A nadhani ni old model
 
muundo kama wa karina ti,no A nadhani ni old model

Mmh amekuambia ina shida yeyote?pata fundi makini na mahiri akaikague kwanza, hizi sio maarufu kivile japo zipo
 
We kweli nyadikwa mkuu...maana yake mbegu kwa lugha ya mama yangu mzazi.....na sifa ya mbegu lazima ipandwe na kuzaa HAHAHAH NTAKU-PM MKUU

Hili jina alinipa rafiki yangu mnyalu enzi hizo niko high skul MET Mafinga pale
 
Mkuu Nenda Toyota watafute wale mafundi wapo vizuri sana kwenye hizo Cruiser unaongea nao watakufanyia kwenye karakana zao,ukishindwa Nenda keko garage pia wanazielewa vizuri sana cruiser

Nashukuru mkuu N'yadikwa nitatekeleza ushauri na maelekezo yako , thanx
 
Wadau hivi karibuni nimenunua ISUZU BIG HORN SUV ya mwaka 1998 imetembea 280,000 kms daah sasa nimeanza kutembelea inakula mafuta kama JINI MAHABA ya 1 ltr = 3kms yaani pamoja na kufungua vioo na kuweka FREE mara kibao imekuwa hatari. Najutaa kununua huu mgari na hela ya mkopo jamaa wa NMB ndo wameanza kukata mwezi huu
.Usifanye kosa kama langu mdau
 
Attachments

  • bighorn.jpg
    bighorn.jpg
    49.8 KB · Views: 1,095
Mkuu kwa hapo umejilipua haswa na ukute una hela za mawazo ndo utajuta ISUZU ni brand ya kifa.la mno na spea kwa bongo ishu labda umuagize mtu Nairobi au SOUTH AFRICA. Hata useme ukodishe ISUZU kwa TOURS hawayataki maana hayahimili SHURUBA za kwenye vumbi/rough road
 
Nakushauri usubiri mwezi August, September na Oktoba 2015 uwakodishie chama chochote cha siasa wapate gari la kupigia kampeni. wanasiasa wakizidiwa mambo wanakuwaga vipofu wala hawatahisi hizo gharama. Fedha utakayopata nenda kanunue Feroza, Harrier, Rav 4, Klugger, Suzuki grand Vitara au Prado kwa raha zako!!!
 
Na katika utafiti wangu ilo gari engine yake ni majanga.wewe utakuwa mtu wa tatu kusikia ukilalamika kuhusu isuzu bighorn pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom