Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Kwa kilometer ulizozitaja hapo 280000, n sawa kuanza kusumbua, mpelekee mtaalam akurekebishie fuel system na engine combustion system , it's nota big issue
 
Duh aisee pole sana. Ilibidi ufanye utafiti kwanza kabla ya kununua. Bora hata Subaru Forester kuliko hayo madubwasha Isuzu.
 
ISUZU brand (ukiacha yale MALORI ya mchanga) kwa TZ ni machache sana maana wabongo wengi hatutaki STRESS. Labda uende Kenya wanapotaka vitu cheap (ISUZU pick ups na SUV) hapo fanya mpango wa kuuza CHUMA CHAKAVU
 
pole sana mkuu... nadhan muuzaji sa hizi anachekelea tu huko!!!! mtafute mlugaluga kama Shy land na we umuuzie
 
Last edited by a moderator:
Dah!! Gari ya mwaka 1998, imetembea 280,000 km, halafu kwa mkopo wenye riba isiyopungua 15% kwa mwaka. Wabongo tuna hela za kuchezea jamani
 
huyo jamaa it seems alitaka heshima mtaani bila kuuliza wataalamu wa magari sasa heshima imekuwa kero na chanzo cha umaskini FULL STRESS. ISUZU sio gari ya kununua kwa mtu mwenye pesa za mawazo bora hata hata angenunua BODA BODA. Tatizo mkishaambiwa ofa za BE FORWARD za gari 10 USD basi mnajiagizia tu bila kuangalia factor nyingine za SPARE PARTS, MAFUTA, MATENGEZO,KODI n.k
 
Naungana na jamaa.
Kuliuza gari hili ni tatizo.
Tatizo ni lilelile,kwamba watu hatukubali ushauri,tunaangalia sura na muonekano wa gari kwa ajili yakuuzia nyago.
Mwisho wake gari unakuja kuiza milioni nne na hanunui mtu.
Kwa kumbukumbu yangu gari hizi watu wengi waliingia kuzinunua kichwa kichwa miaka ya 2004 - 2006
 
ISUZU BIGHORN 1. Engine kubwa 2900cc-3300cc 2. Spare parts ni ishu 3. Haimili mikiki mikiki ya Rough roads zetu 4. Mafundi wengi hawazijui vizuri ni bora ununue TOYOTA yoyote kuliko ISUZU
 
mkuu ISUZU BIGHORN utakachofaid ni mgurumo wake unavutia mengine ni disaster tu maana mafuta yake balaa labda uwe unaongea na madereva wa serikalini wakuuzie mafuta ya dili
 
Mkuu pole sana hapo umejichungulia mwenyewe.
 
Mkuu kwa mwonekano wa hiyo gari sio mbaya sana pamoja na kuwa ya mwaka 1998. kwa maelezo yako hiyo itakuwa nd engine ya V6 petrol. Sasa kama vp sema upewe kiasi gani. Hiyo ndinga inpigwa 1kz engine. Ngoma inakuwa fresh kabisa
 
Mkuu mimi hata ukinipa 4m nakuachia gari maana sitaki hata kuliona, maana limeshakula kama 6m kwa matengenezo yasioeleweka. Kun wakati nilitaka nikalikate niuze SPEA tu
 
Waone mafundi wanaoaminika,badili engine weka ya Toyota (3L au 3Y injection) utapeta na utarudisha heshima mtaani
 
Halafu hilo haliuziki??? Pole sana mkuu

Unataka kniambia hiyo kwake ni sawa na ndoa ya kikristo

pole sana mkuu... nadhan muuzaji sa hizi anachekelea tu huko!!!! mtafute mlugaluga kama Shy land na we umuuzie

Nenda microfinance/SACCOS yoyote uiweke kama Dhamana wape na kadi original, chukua mkopo wa maana halafu tokomea jumla ubadilishe na simu, wao ndo watalipiga mnada wapate hela yao. DEAL CLOSED.

Duuuuu 1ltr kwa 3km???? Hilo ni Jini la Uarabuni.

huyo jamaa it seems alitaka heshima mtaani bila kuuliza wataalamu wa magari sasa heshima imekuwa kero na chanzo cha umaskini FULL STRESS. ISUZU sio gari ya kununua kwa mtu mwenye pesa za mawazo bora hata hata angenunua BODA BODA. Tatizo mkishaambiwa ofa za BE FORWARD za gari 10 USD basi mnajiagizia tu bila kuangalia factor nyingine za SPARE PARTS, MAFUTA, MATENGEZO,KODI n.k

mkuu ISUZU BIGHORN utakachofaid ni mgurumo wake unavutia mengine ni disaster tu maana mafuta yake balaa labda uwe unaongea na madereva wa serikalini wakuuzie mafuta ya dili

gari imetembea km 280,000 unategemea nini hill ni screpa tu

Mkuu pole sana hapo umejichungulia mwenyewe.

Waone mafundi wanaoaminika,badili engine weka ya Toyota (3L au 3Y injection) utapeta na utarudisha heshima mtaani

Mkuu mimi hata ukinipa 4m nakuachia gari maana sitaki hata kuliona, maana limeshakula kama 6m kwa matengenezo yasioeleweka. Kun wakati nilitaka nikalikate niuze SPEA tu

Dahhh!
Yani JF ni sheeedah!!
 
Last edited by a moderator:
blessings ni kweli unauza hiyo bighorn kwa 4m? mbona hiyo bei ni nafuu kuliko Bajaj TVS?
 
Na mm pia nimebaki kwenye hii hii point ya kubadilisha engine!, unaweza ukaweka hata engine ya 1KZ kama nafasi itaruhusu hapo utapumzika na kusahau huu wimbo watu wanaokuimbia!Unajua tatizo si tatizo ila tatizo ni jinsi ya kutatua hilo tatizo
 
Back
Top Bottom