Mkuu nimetoka tanga to dsm na kirudi na passo ila tairi moja ya nyuma ni kale ka spar je kunamadhara yakukatumia?pia hiki kigari kinakimbia sijawahi kuona japo kana piston 3 yaani sijapitwa na gari yeyote mpaka nafika mpaka watu wanauliza nimefunga engine yanini?na kwenye mafuta nilijua kabovu hakali kabisa from dar to tanga lita 16 na mpaka sasa hivi natembelea bado wese lipo
Duu siku nyingine usiende hiyo speed, hivyo vitairi ni imara sana usihofu ila badili vinaleta shepu mbaya
Hivi muda gani unashauriwa uache kutembelea hz spare tyre ndogo ktk gari.?!
Wakuu tusaidiane ushauri kuhusu spare, uimara na perfomance ya landrover discovery tdi 300 na td5. Nazikubali na nazitamani sana ila sina uzoefu nazo.. Kwa kifupi kama haina matatizo ya kudumu au yanayokera
Mkuu nimetoka tanga to dsm na kirudi na passo ila tairi moja ya nyuma ni kale ka spar je kunamadhara yakukatumia?pia hiki kigari kinakimbia sijawahi kuona japo kana piston 3 yaani sijapitwa na gari yeyote mpaka nafika mpaka watu wanauliza nimefunga engine yanini?na kwenye mafuta nilijua kabovu hakali kabisa from dar to tanga lita 16 na mpaka sasa hivi natembelea bado wese lipo
Pathfinder hapa naomba niwaalike Kaizer na N'yadikwa, wana maelezo murua zaidi kwenye haya madude na wameshayatolea maelezo ya kina kwenye post zilizotanguliaWadau naomba ushauri kuhusu hizi gari toyota brevis kwa anaezijua haswa ulaji wa mafuta nataka kumvua mtu @ Mshana
Sishauri kutembelea tairi za spare kwa kitambo kirefu (speed & umbali). Zimetengenezwa kama first aid tu na nyingine unakuta zimesha-weak (angalia expiry date ya tairi).
Please ukiweza funga na utembee km chini ya 100 na less than 80kph
Mpaka ichakae kumbuka ile ni kwa ajili ya dharura tuu
Wakuu heshima.
Ni kwamba ninataka gari ya bei ndogo mil 4 ipi nzur na economy L/km
Sishauri kutembelea tairi za spare kwa kitambo kirefu (speed & umbali). Zimetengenezwa kama first aid tu na nyingine unakuta zimesha-weak (angalia expiry date ya tairi).
Please ukiweza funga na utembee km chini ya 100 na less than 80kph
Naomba kuuliza. Hizi gari zinazouzwa mil 4 ikiwa used wakati mpya ni mil 8. Je zinakuwa bora kweli au ni kama simu clone?
kaka iweke vizuri.Gari mpya milioni nane kamwe huwezi pata labda ulitaka kusema used car from Japan na nchi nyingine za ng'ambo?Kama ni hivyo unapotaka kununua gari iliyotumika humuhumu nchini ubora wake unakuwa si sawa na iliyotoka Japan au Dubai au nchi nyingine yoyote ya ng'ambo na gari ni aina ya bidhaa ambazo tunasema kwa lugha ya kibiashara ina kuwa katika "depreciating value category" hivyo kukuta gari iko katika bei ya chini kiasi cha nusu ya ulichokadiria kuna vitu vingi unatakiwa kuviangalia kabla hujafanya maamuzi ya kukubali kununua..kumbuka muda mrefu wa matumizi ya chombo ndo kuchakaa kwenyewe
Nataka kununua gari aina ya SUZUKI Kei cc650 kuna mtu mwenye ufahamu mzuri wa hizi gari upande wa spare parts na kama kuna tatizo!!! Naona inafaa kwa ulaji mdogo wa mafuta na 4wd inasaidia ukipita sehemu zenye mchanga!!