Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #1,041
Mkuu nimetoka tanga to dsm na kirudi na passo ila tairi moja ya nyuma ni kale ka spar je kunamadhara yakukatumia?pia hiki kigari kinakimbia sijawahi kuona japo kana piston 3 yaani sijapitwa na gari yeyote mpaka nafika mpaka watu wanauliza nimefunga engine yanini?na kwenye mafuta nilijua kabovu hakali kabisa from dar to tanga lita 16 na mpaka sasa hivi natembelea bado wese lipo
Duu siku nyingine usiende hiyo speed, hivyo vitairi ni imara sana usihofu ila badili vinaleta shepu mbaya