CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 733
- 458
NaombaWakuu nataka kununua Paso kwa mizunguko ya mjini tu. Je inafaa? vp uimara wake na ulaji wa mafuta?
Au ni gari ipi ndogo ambayo ni bora zaidi.
Nb. Bei iwe kama ya Paso au ikizidi basi isizidi mil 8.
Kwa gari ndogo na imara starlet iko pouwa na engine yake ni moja kati ya engine zinazovumilia tabu nyingi ni 4E za coil na distributor .Vipuri ni tele with resonable price...fuel consumption ni 1lt/14 km. Kwa passo ni gari ya kisasa kiasi ila body ni delicate na rough road haihimili.. vipuri bado ni changamoto kiasi, fuel consumption ni 1lt/21 km.
Fanya chaguo..wadau watapita kuongeza yaliyo ya kitaalamu zaidi