Mmmh!kuna fundi nilishamskia akisema gearbox oil huwa haibadilishwi coz ipo unique na ukibadili hupati iliyo bora kama hiyo.
RANGE ROVER vogue!
Kwa macho yangu nimeshuhudia gari tajwa hapo juu zikiungua na kuteketea kabisa!
Dar Maeneo ya Cocacola, Dar Maeneo ya Ocean Rd, Mbele kidogo ya vigwaza baada ya kupita mizani mipya...
Pia kwa kuhadithiwa zipo nyingine zilizoteketea kwa moto jumla kama gari 6 au 7 hivi.
Awali nilifikiri ni mchezo wa insurance!...
Lakini baada ya kuliona hilo la Vigwaza (ilikuwa saa kumi alfajiri kati ya tar 5 na 6 Feb 2015) nimeanza kuwa na waswasi wa magari hayo...
Je kuna shida gani inayosababisha magari hayo kuwaka moto? au ni mchezo ule ule wa bima?
Mungu wangu ile ni lubricant ndio inafanya gear zisogeze gari kuanzia Spidi 0 na kuendelea na kinyume chake, inafika mahali unapoteza uimara kwasababu ya msuguano wa vyuma
Alitakiwa kukuambia kuwa unapotaka kubadili hakikisha unapata iliyo bora
Tatizo si kubwa Kama wote mna nia njema, tunawatumia wanasheria kwasababu siku hizi kuna watu na viatu, watu ni wengi lakini binadamu ni wachache
Cha muhimu sana sana kabla hujafanya manunuzi yoyote hasa hizi gari za mkononi ni vema ukapata copy ya kadi ya gari uende nayo TRA makao makuu gorofa ya nne ni kitengo cha investigation, hapo hakuna urasimu wowote, utaambiwa ukweli kuhusu usajili wa gari na kama hakuna shida yoyote
Kingine epuka kununua gari yenye kadi original lakini ni duplicate, wengi wameumizwa sana kwa kuuziwa magari ya wizi na utapeli
Duplicate ina maneno yaliyofifia kwenye kadi yake ya DUPLICATE, yanajukana kama water mark, original haina hiyo
Cha muhimu zaidi ni kwenda filling stations nzuri kwa ubora na kuhakikisha muda mwingi mafuta hayapungui mpaka taa kuwaka moja kwa moja
Pia sehemu gani hapa town dsm wananyanyua gari vizuri
Hivi oil ya aina gani ni bora kwa gari? Nimetumia oil za nchini Australia yani zile za kawaida ni km10,000 ndipo unamwaga wakti za Tz ni km3000-5000.
Wapi ntapata 10,000 km engine oil #40 ? Brand name??