Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #1,221
Mmmh!kuna fundi nilishamskia akisema gearbox oil huwa haibadilishwi coz ipo unique na ukibadili hupati iliyo bora kama hiyo.
Mungu wangu ile ni lubricant ndio inafanya gear zisogeze gari kuanzia Spidi 0 na kuendelea na kinyume chake, inafika mahali unapoteza uimara kwasababu ya msuguano wa vyuma
Alitakiwa kukuambia kuwa unapotaka kubadili hakikisha unapata iliyo bora