Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

media

Volkswagen Golf 1.6 TDi 105 BlueMotion SE 5dr


Mwaka - 2010

Mafuta - Diesel

Ina mlango wa nyuma au Hatchback

Gear yake -Manual

Maili ilizoendeshwa -61119

Rangi yake ni Metallic Met Red,


Mengine ina- Cloth Trim, A/C, 16 inch alloy wheels, ABS brakes with Traction Control, Central Locking, Cruise Control, Electric Mirrors, Electric Windows (Front & Rear), Power-Steering, Radio & CD-player, Rear Head-Rests, 5 Door Hatchback, Air Conditioning. 5 seats,
media

media


Angalia dashboard yake.

Kama unavyoona gari hii inakula mafuta kiasi kidogo sana yaani 1.6 engine yake.

Hii kitu bei gani kama hutajali kuniambia hapahapa au pm
 
Gari unalifanyia service muda gani mara baada ya kuitoa bandarini

Range ya kufanya service ni kati ya km 3000-10000 kutegemeana na lubricants unazotumia pamoja na aircleaner plugs nk

Kwahiyo angalia last service kwenye kadi na current OD km
 
Hii gari haina cha uwani, fundi anasema clutch plates zitakuwa zinatatizo thus reverse inazingua. Naomba uzoefu wenu wadau. Toyota Sienta.

Manual au auto? Kama ni auto sidhani kama zina clutch plate
 
kwa vijana tunaoanza maisha TOYOTA tena cc zisizozidi 2000cc zinatuhusu ukijichanganya na Brand nyingine kama ISUZU, MAZDA, LAND ROVER, MERCEDES utaishia kupanda Bajaj kila siku
 
Mm ni mkulima habari ya magari ya luxury cko leteni habari ya powertiller,naombeni kuuliza Yale matreckta ya kilimo kwanza yaliishia wapi maana nasikia yalikuwa hayana ubora yameishiaga wapi?
 
Kuna hizi gari Volkswagen, model ya Golf Touran TSi 1.4 au 1.6. Naziona ni nzuri muonekano wake na ina nafasi ya kutosha ndani. Vp zinaubovu gani haswa, je upatikanaji wa vipuli ukoje, ulaji wake mafuta ni wa kawaida au ndo jini mahaba. Shukrani
 
Kuna hizi gari Volkswagen, model ya Golf Touran TSi 1.4 au 1.6. Naziona ni nzuri muonekano wake na ina nafasi ya kutosha ndani. Vp zinaubovu gani haswa, je upatikanaji wa vipuli ukoje, ulaji wake mafuta ni wa kawaida au ndo jini mahaba. Shukrani

Gari nzuri na ngumu inafaa kwa matumizi ya kawaida vipuri vipo kibao South na Nairobi
 
Thanks mkuu, kwa hiyo hapa bongo(i mean Tz) ni adimu upatikaji wa vipuli? na vipi ulaji wa mafuta. Shukrani.

Usujali sana kuhusu hilo la vipuri kwakuwa si vitu vya kuharibika kila mara kwa mafuta pia iko ok
 
Wadau naomba msaada wenu juu ya hii gari,uimara wake na upatikanaji wa spare zake.
Pia itanigharimu kiasi gani mpaka iwe barabarani, iko Japan.

Mazda axela sport, 2004,1990CC,AT,engine code LF, CIF 2850.

Hata mi nataka kufahamu hili
 
Hiyo ni gari ya aina gani

Ndugu ni aina gani ya gari haili mafuta mengi

Ndugu mbona Mimi sijajibiwa swali langu? Tokea Jana
Revola swali lako lilikuwa pana mno hukutaja walau model mbili tatu za kufanyia ulinganifu, lakini kama umepitia post za nyuma kuna maelezo mengi ya kina kuhusu low fuel consumption vehicles, ambazo nyingi ni zile zizisozidi cc 1500, hebu Fanya ziara tena uone kuna Cami, Duet, IST, nk
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom